E EMMANOS Member Joined Sep 20, 2012 Posts 14 Reaction score 2 Oct 2, 2012 #1 sijui mchanganuo wa BSE mkopo wangu ni 4183000
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 148 Oct 3, 2012 #2 kaka hapo sijakusoma!!!! unataka kujua nini??? mchanganuo wa hiyo program au?? au unatakuakujua ada???
kaka hapo sijakusoma!!!! unataka kujua nini??? mchanganuo wa hiyo program au?? au unatakuakujua ada???
M Msabaha lk Member Joined Apr 21, 2012 Posts 84 Reaction score 21 Oct 3, 2012 #3 Ama kweli KOBA hakukosea aliposema penye miti hakuna wajenzi. mkwanja kwanza haupewi wewe subiri upewe hilo boom ila chamsingi hapo ni 7500/- kwa siku
Ama kweli KOBA hakukosea aliposema penye miti hakuna wajenzi. mkwanja kwanza haupewi wewe subiri upewe hilo boom ila chamsingi hapo ni 7500/- kwa siku
E EMMANOS Member Joined Sep 20, 2012 Posts 14 Reaction score 2 Oct 3, 2012 Thread starter #4 kaka nilichotaka kujua nitachangia shilingi ngapi? Ada kwa mwaka?
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Oct 3, 2012 #5 Hela zote hizo utapeleka wapi aisee? Inabidi uoe