Naomba msaada wana sua

Naomba msaada wana sua

kaka hapo sijakusoma!!!! unataka kujua nini??? mchanganuo wa hiyo program au?? au unatakuakujua ada???
 
Ama kweli KOBA hakukosea aliposema penye miti hakuna wajenzi. mkwanja kwanza haupewi wewe subiri upewe hilo boom ila chamsingi hapo ni 7500/- kwa siku
 
kaka nilichotaka kujua nitachangia shilingi ngapi? Ada kwa mwaka?
 
Back
Top Bottom