Naomba msaada wenu, namba yangu inagoma kusajili whatsapp

Naomba msaada wenu, namba yangu inagoma kusajili whatsapp

magumbugu

Senior Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
161
Reaction score
317
Naombeni Masada namba yangu imekataa kabisa kuji register kwenye whatsapp nimejaribu sana,
Lakini inaandika hivi
Screenshot_2025-05-21-17-12-51-96.png
 
Itakua hiyo namba ilisajiliwa kwenye watsap ambayo siyo rasmi hasa zile Gb whatsap.Kuna ambao niliwaona walikutana na hiyo changamoto ila badae ilikaa sawa ila ilichukua muda.
kidogo.
 
Hiyo ni simu ya Oppo simu za kipuuzi kweli
 
Naombeni Masada namba yangu imekataa kabisa kuji register kwenye whatsapp nimejaribu sana,
Lakini inaandika hiviView attachment 3341167
Shida unatumia Oppo hizi simu zina shida na WhatsApp.... Kuna mdau huku kuna uzi alitoa solution sikumbuki uzi gani ila yeye alkua na Oppo A83, nakumbuka tu alisema mpaka aliwasiliana na WhatsApp wenyewe na kila kitu kilienda fresh..

Ngoja niutafute nikipata ntaku-tag
 
Naombeni Masada namba yangu imekataa kabisa kuji register kwenye whatsapp nimejaribu sana,
Lakini inaandika hiviView attachment 3341167
Pitia uzi huu nmekumbuka....

Anzia hapo kusoma [emoji116]


Jibu liko hapo [emoji116]



Post ya 10418 hapo alitoa solution, jaribu nawe huenda ikawa bahati yako...
 
Badiri simu maana Kuna baadhi ya simu huwa zinagoma whatsApp , au tumia whatsApp app za play store tuu au app store...usitumie yale ya gb whatsApp , yo whatsApp n.k Yale ya ku download maana yameshafungiwa.
 
Back
Top Bottom