Naomba msaada wenu wakisheria wakuu

Naomba msaada wenu wakisheria wakuu

wazanaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2020
Posts
1,092
Reaction score
808
Wakuu iko hivi, nilikua natafuta chumba cha kupanga, bahati nzuri nikapata dalali akanionesha maeneo ya kigamboni. Tukaonana na ndugu wa mwenye nyumba( mdogo mtu) akatupeleka mpaka kwenye chumba. Nikakiona nikaridhika nacho. Lakini kulikua kuna tatizo la koki ya maji. Akasema atarekebisha.

So palepale sikutaka mambo mengi, nikamlipa jamaa pesa ya miezi mitatu, nikasema kesho kutwa nakuja kuhamia kwa hiyo rekebisha koki. Akakubali.
Baada ya kuja nikakuta koki haijarekebishwa. Ikawa ameenda kinyume na makubaliano. Nikamwambia nirudishie pesa yangu nikatafute sehemu ingine, akasema pesa ameisha tumia na porojo nyingi zikaendelea.

Sasa hadi sasa sijahamia kwenye nyumba na pesa hajarudisha. Na mkataba hajaandaa.

Wazee wa sheria mnawexa kutoa ushauri hapa cha kufanya? Anapoishi napajua.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hio ni minor issue nunua koki ukija kumlipa kodi ya miezi mitatu mingine baada ya hio uliolipia kuisha unakata hela yako ya koki
 
Wakuu iko hivi, nilikua natafuta chumba cha kupanga, bahati nzuri nikapata dalali akanionesha maeneo ya kigamboni. Tukaonana na ndugu wa mwenye nyumba( mdogo mtu) akatupeleka mpaka kwenye chumba. Nikakiona nikaridhika nacho. Lakini kulikua kuna tatizo la koki ya maji. Akasema atarekebisha.

So palepale sikutaka mambo mengi, nikamlipa jamaa pesa ya miezi mitatu, nikasema kesho kutwa nakuja kuhamia kwa hiyo rekebisha koki. Akakubali.
Baada ya kuja nikakuta koki haijarekebishwa. Ikawa ameenda kinyume na makubaliano. Nikamwambia nirudishie pesa yangu nikatafute sehemu ingine, akasema pesa ameisha tumia na porojo nyingi zikaendelea.

Sasa hadi sasa sijahamia kwenye nyumba na pesa hajarudisha. Na mkataba hajaandaa.

Wazee wa sheria mnawexa kutoa ushauri hapa cha kufanya? Anapoishi napajua.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Duh kwa akili hiii wewe inaweza kikaa na mke kweli! Maana hayo ni mambo ya kawaida sana ni kutumia akili tu za kuzaliwaa
 
Wakuu iko hivi, nilikua natafuta chumba cha kupanga, bahati nzuri nikapata dalali akanionesha maeneo ya kigamboni. Tukaonana na ndugu wa mwenye nyumba( mdogo mtu) akatupeleka mpaka kwenye chumba. Nikakiona nikaridhika nacho. Lakini kulikua kuna tatizo la koki ya maji. Akasema atarekebisha.

So palepale sikutaka mambo mengi, nikamlipa jamaa pesa ya miezi mitatu, nikasema kesho kutwa nakuja kuhamia kwa hiyo rekebisha koki. Akakubali.
Baada ya kuja nikakuta koki haijarekebishwa. Ikawa ameenda kinyume na makubaliano. Nikamwambia nirudishie pesa yangu nikatafute sehemu ingine, akasema pesa ameisha tumia na porojo nyingi zikaendelea.

Sasa hadi sasa sijahamia kwenye nyumba na pesa hajarudisha. Na mkataba hajaandaa.

Wazee wa sheria mnawexa kutoa ushauri hapa cha kufanya? Anapoishi napajua.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kaenda nje na makubaliano kwahiyo ka breach contract inabidi arudishe pesa na remidies, ila hivyo vitu ni minor sana achana nae tumia pesa yako rekebisha ili kodi ijayo mtakatana maana vinginevyo mtapotezeana mda jua kua mda ni mali zaidi ya pesa ndomana hata mahakimu wanashauri kuwa kuna mambo tuwe tunamalizana hukuhuku kwa kutumia alternative resolutions kwasababu makesi nayo sio mazuri.
 
Back
Top Bottom