wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
Wakuu iko hivi, nilikua natafuta chumba cha kupanga, bahati nzuri nikapata dalali akanionesha maeneo ya kigamboni. Tukaonana na ndugu wa mwenye nyumba( mdogo mtu) akatupeleka mpaka kwenye chumba. Nikakiona nikaridhika nacho. Lakini kulikua kuna tatizo la koki ya maji. Akasema atarekebisha.
So palepale sikutaka mambo mengi, nikamlipa jamaa pesa ya miezi mitatu, nikasema kesho kutwa nakuja kuhamia kwa hiyo rekebisha koki. Akakubali.
Baada ya kuja nikakuta koki haijarekebishwa. Ikawa ameenda kinyume na makubaliano. Nikamwambia nirudishie pesa yangu nikatafute sehemu ingine, akasema pesa ameisha tumia na porojo nyingi zikaendelea.
Sasa hadi sasa sijahamia kwenye nyumba na pesa hajarudisha. Na mkataba hajaandaa.
Wazee wa sheria mnawexa kutoa ushauri hapa cha kufanya? Anapoishi napajua.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app