Naomba mtandao wakustream mpira live

Naomba mtandao wakustream mpira live

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kama ulivyosoma kichwa Cha habari naombeni mtandao mzuri ambao ausumbui Wala kukatakata wa kustream mpira mwenye kujua anisaidie.
 
Hesgoal ingia google usesrch utaikuta au downloada volasport kupitia google mechi zote za ulaya utaziona
 
Hesgoal ingia google usesrch utaikuta au downloada volasport kupitia google mechi zote za ulaya utaziona
Yah Kuna kipindi nilijaribu nilishindwa kuna ads nyingi ebu nielekeze baada ya kuona mechi unabonyeza Nini?
 
Kuna uzi kule jukwaa la teknolojia kuna mdau alileta uzi wake amefungua apps ya tv online,zipo channel zote za super sports,star tv,na nyingine nyingi za nje,app utaipata kupitia link inaitwa j live,unailipia shilingi 2000 kwa mwaka unapata Chanel zote kasoro za azam ndio hazioneshi Ila nyingine zipo,uzi unaitwa "Leo jioni naleta app ya kuangalia tv live" sijui kama nipo sawa Ila ukiserch Google watakuletea
 
Back
Top Bottom