Naomba mtanzania aliyeko Washington DC tuwasiliane

Naomba mtanzania aliyeko Washington DC tuwasiliane

THE BROKER

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
743
Reaction score
915
Kadiri ya ombi tajwa hapo juu, nina mpango wa kuja WDC kwa muda. Hivyo naomba ndugu yangu mtanzania uliyeko huko unipe connection hasa ya makazi ya muda kwa bei nafuu au unihost.

Kwa mawasiliano zaidi karibu inbox.

Ubarikiwe.

Ndugu yako Kijana wa kitanzania.
 
Kadiri ya ombi tajwa hapo juu, nina mpango wa kuja WDC kwa muda. Hivyo naomba ndugu yangu mtanzania uliyeko huko unipe connection hasa ya makazi ya muda kwa bei nafuu au unihost.

Kwa mawasiliano zaidi karibu inbox.

Ubarikiwe.

Ndugu yako wa kitanzania.
Kwanza jitambulishe wewe ni ke au me? Jieleze uwezo wako wa kifedha!
 
Back
Top Bottom