Kadiri ya ombi tajwa hapo juu, nina mpango wa kuja WDC kwa muda. Hivyo naomba ndugu yangu mtanzania uliyeko huko unipe connection hasa ya makazi ya muda kwa bei nafuu au unihost.
Kwa mawasiliano zaidi karibu inbox.
Ubarikiwe.
Ndugu yako wa kitanzania.