Naomba mtu mwenye mawasiliano ya mwenyekiti wa UWT Taifa anisaidie au barua pepe yake.

Naomba mtu mwenye mawasiliano ya mwenyekiti wa UWT Taifa anisaidie au barua pepe yake.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Wakuu , nilibidi kuwa hapo Dodoma katika mambo ya chama Ila unfortunately sitofika.

Ila nahitaji kuwasiliana na mwenyekiti wa UWT Taifa mwenye mawasiliano yake anipatie PM.



#Tanzania Mbele , Kazi iendelee🇹🇿
 
Sema tukakuwakilishe tulio karibu Mkuu.

Hivi UWT ni Umoja wa wanawake au wazee?
 
Kama upo dar es salaam fika ofisi za lumumba, kama ni mwanachama wa CCM mtafute katibu mkuu wa wilaya yako au Mwenyekiti atakusaidia na ukishindwa basi mbunge wako atasaidia vizuri tu.

Ofisi za ccm kama ni mwanachama utapata msaada wa uhakika.
 
Naomba kuuliza hivi UWT ni chama ambacho kiko chini ya ccm?
 
Back
Top Bottom