DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jan 16, 2025 #1 Wakuu , nilibidi kuwa hapo Dodoma katika mambo ya chama Ila unfortunately sitofika. Ila nahitaji kuwasiliana na mwenyekiti wa UWT Taifa mwenye mawasiliano yake anipatie PM. #Tanzania Mbele , Kazi iendelee🇹🇿
Wakuu , nilibidi kuwa hapo Dodoma katika mambo ya chama Ila unfortunately sitofika. Ila nahitaji kuwasiliana na mwenyekiti wa UWT Taifa mwenye mawasiliano yake anipatie PM. #Tanzania Mbele , Kazi iendelee🇹🇿
M Mpalakugenda JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 4,611 Reaction score 5,009 Jan 16, 2025 #2 Yaan umtafutie mitandanio kama johnthebaptist
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 5,487 Reaction score 4,817 Jan 16, 2025 #3 Sema tukakuwakilishe tulio karibu Mkuu. Hivi UWT ni Umoja wa wanawake au wazee?
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jan 16, 2025 Thread starter #4 Mpalakugenda said: Yaan umtafutie mitandanio kama johnthebaptist Click to expand... OK inshallah
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jan 16, 2025 Thread starter #5 Blank page said: Sema tukakuwakilishe tulio karibu Mkuu. Hivi UWT ni Umoja wa wanawake au wazee? Click to expand... Ni personal issues.
Blank page said: Sema tukakuwakilishe tulio karibu Mkuu. Hivi UWT ni Umoja wa wanawake au wazee? Click to expand... Ni personal issues.
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,820 Reaction score 9,625 Jan 17, 2025 #6 DR HAYA LAND said: Ni personal issues. Click to expand... Mcheki big chawa Mwamshamba huyo chap tu ana no mpaka za Abdul
DR HAYA LAND said: Ni personal issues. Click to expand... Mcheki big chawa Mwamshamba huyo chap tu ana no mpaka za Abdul
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 17, 2025 #7 Hope watakupatia wadau
T Tanganyika Mpya Senior Member Joined May 3, 2024 Posts 170 Reaction score 375 Jan 17, 2025 #8 Kama upo dar es salaam fika ofisi za lumumba, kama ni mwanachama wa CCM mtafute katibu mkuu wa wilaya yako au Mwenyekiti atakusaidia na ukishindwa basi mbunge wako atasaidia vizuri tu. Ofisi za ccm kama ni mwanachama utapata msaada wa uhakika.
Kama upo dar es salaam fika ofisi za lumumba, kama ni mwanachama wa CCM mtafute katibu mkuu wa wilaya yako au Mwenyekiti atakusaidia na ukishindwa basi mbunge wako atasaidia vizuri tu. Ofisi za ccm kama ni mwanachama utapata msaada wa uhakika.
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,319 Reaction score 9,003 Jan 17, 2025 #9 Naomba kuuliza hivi UWT ni chama ambacho kiko chini ya ccm?