naomba mtu wa NECTA aje atoe huu utata

naomba mtu wa NECTA aje atoe huu utata

Source ni mimi kwa kuwa nilikuwepo kwenye kazi ya usahihishaji wa mitihani ya form 4 mwaka jana na wataalamu wa NECTA tulipowauliza ndo wakatupa majibu hayo wakati tukiwa kwenye semina.

mkala hela zetu walipa kodi na mkaliafiki hili...
Kutokana na umaskini na njaa..mkakosa ujasiri wa kuhoji. ,,kwamba wawili wanapoints zinazofanana 42..mmoja anapata cheti mwingine anaoneka si kitu...
 
A=1 ,b+=2,b=3,c=4,d=5 ,e=6,f=7
so
c
c
c
c
c
B
B=26
 
Tunakoelekea ni majanga matupu.....nchi imekuwa ovyo sana sijui kuna mdudu gani hapa Tz...
 
Kama tofauti ya B na C haionekani basi tutaendelea kunyolewa hata kwa chupa
 
jmny wanajamvi kwa nielewavyo mm ayo matokeo apo juu aliepata IV ya 42 ana F moja tu katika yale masomo ya penati lkn aliepata 0 ya 42 ana F mbil katika yale masomo ya penati kwaiyo mi nafkir tofaut imekuja baada ya kupigwa penati na co katika kupanga madaraja naomba kuwasilisha
 
jmny wanajamvi kwa nielewavyo mm ayo matokeo apo juu aliepata IV ya 42 ana F moja tu katika yale masomo ya penati lkn aliepata 0 ya 42 ana F mbil katika yale masomo ya penati kwaiyo mi nafkir tofaut imekuja baada ya kupigwa penati na co katika kupanga madaraja naomba kuwasilisha

..masomo ya penalty ni yapi?
 
Majanga kweli
mwingine ana iii 26
civ-c
hist-c
eng-c
kisw-b
geog-b
biol-c
chem-c
sasa hiyo iii 26 inatoka wapi?

mkuu..kwani siku hizi kufanya Basic mathematics sio lzm??

Au umesahau kuorodhesha?
 
mkuu..kwani siku hizi kufanya Basic mathematics sio lzm??

Au umesahau kuorodhesha?

kawaida huwa wanachukua masomo 7 uliyofaulu vizuri hapo inaonekana b.maths hakufaulu vizuri so haijatumika kuhesabia division
 
tupe source ya hiyo taarifa tafadhali. Iwe certified.
Kinyume na hapo umetizama tu hiyo data yangu hapo,then waja na jibu la kijinga kabisa. Wewe ni janga jingne.

Kifungu cha 20(6) cha Kanuni za Mitihani kinaelekeza kuwa mtahiniwa atakuwa amefaulu angalau kwa kupata D mbili au C moja. Hivyo aliyepata e zote hajafaulu hata somo moja licha ya kuwa na pointi 42 atakuwa Div.0.
 
kawaida huwa wanachukua masomo 7 uliyofaulu vizuri hapo inaonekana b.maths hakufaulu vizuri so haijatumika kuhesabia division

sio kweli B.mathematics ni somo la lzm
hata ukpata F lzm waliweke kwenye yale masomo 7
 
Ni kweli Kawambwa asingeweza kupata hata uenyekiti wa Kitongoji maana ni mzito sana na ndiyo maana chama chake wanamwita mzigo

Hawaii ni MTU na Binamu yake. Jk alivyoingia madarakani Alison's 'sasa ni Zamu yetu' akimaanisha yeye na Ndugu zake. Unapokasirishwa na jambo uwe chanzo cha mabadiriko kwa watu wa karibu yako!
 
ndugu naomba niondoe huo utata kama ifuatavyo,mwanafunzi anaweza kupata point 42 na akapata division 0 endapo katika masomo aliyofanya ameshindwa kupata japo c moja au kashindwa kupata japo d mbili kati ya masomo yote aliyofanyia mtihani.

bado hujakonvisi ndugu!
 
nimepend hayo maswali uko juu mzee
Sijui kwa nini Kawambwa anang'ang'ania hicho kiti na sijui Ana agenda gani katika elimu yetu. Kila kukicha ni madudu tu kwenye sekta ya elimu. Angalia huo utumbo katika upangaji wa madaraja ya ufaulu yaani watu wana pointi za kufanana mmoja ana ziro mwingine IV. Kuna wenye PTs 41 amepata 0 wakati mwenye PTs 45 ana IV. Hivi hata hilo hawawezi kujua kuwa mwenye pointi chache ana ufaulu mzuri zaidi

Hivi Kawambwa ana nini cha kuwaeleza wadogo zetu waliofanya mtihani mwaka Jana Mtu akapata 50 akapewa C lakini aliyepata 50 mwaka huu ana B, je kwenye soko la ajira watapimwa vipi? Ni bora sasa uanzishwe utaratibu wa kuweka maksi kwenye vyeti badala ya grade

Kawambwa atuambie vigezo vipi vitatumika selection ya F5 kwa wanafunzi waliokuwa na C2 mwaka jana sasa wamepata C ya tatu mwaka huu?
 
Back
Top Bottom