Source ni mimi kwa kuwa nilikuwepo kwenye kazi ya usahihishaji wa mitihani ya form 4 mwaka jana na wataalamu wa NECTA tulipowauliza ndo wakatupa majibu hayo wakati tukiwa kwenye semina.
mwisho wa division 4 ni 46
.waliofanya mtihani mwaka Jana Mtu akapata 50 akapewa C=3 lakini aliyepata 50 mwaka huu ana B=3, je kwenye soko la ajira watapimwa vipi?
jmny wanajamvi kwa nielewavyo mm ayo matokeo apo juu aliepata IV ya 42 ana F moja tu katika yale masomo ya penati lkn aliepata 0 ya 42 ana F mbil katika yale masomo ya penati kwaiyo mi nafkir tofaut imekuja baada ya kupigwa penati na co katika kupanga madaraja naomba kuwasilisha
Majanga kweli
mwingine ana iii 26
civ-c
hist-c
eng-c
kisw-b
geog-b
biol-c
chem-c
sasa hiyo iii 26 inatoka wapi?
mkuu..kwani siku hizi kufanya Basic mathematics sio lzm??
Au umesahau kuorodhesha?
tupe source ya hiyo taarifa tafadhali. Iwe certified.
Kinyume na hapo umetizama tu hiyo data yangu hapo,then waja na jibu la kijinga kabisa. Wewe ni janga jingne.
..masomo ya penalty ni yapi?
kawaida huwa wanachukua masomo 7 uliyofaulu vizuri hapo inaonekana b.maths hakufaulu vizuri so haijatumika kuhesabia division
Ni kweli Kawambwa asingeweza kupata hata uenyekiti wa Kitongoji maana ni mzito sana na ndiyo maana chama chake wanamwita mzigo
Kawambwa hafai hata kuwa kijakazi wa Mulugo
ndugu naomba niondoe huo utata kama ifuatavyo,mwanafunzi anaweza kupata point 42 na akapata division 0 endapo katika masomo aliyofanya ameshindwa kupata japo c moja au kashindwa kupata japo d mbili kati ya masomo yote aliyofanyia mtihani.
Sijui kwa nini Kawambwa anang'ang'ania hicho kiti na sijui Ana agenda gani katika elimu yetu. Kila kukicha ni madudu tu kwenye sekta ya elimu. Angalia huo utumbo katika upangaji wa madaraja ya ufaulu yaani watu wana pointi za kufanana mmoja ana ziro mwingine IV. Kuna wenye PTs 41 amepata 0 wakati mwenye PTs 45 ana IV. Hivi hata hilo hawawezi kujua kuwa mwenye pointi chache ana ufaulu mzuri zaidi
Hivi Kawambwa ana nini cha kuwaeleza wadogo zetu waliofanya mtihani mwaka Jana Mtu akapata 50 akapewa C lakini aliyepata 50 mwaka huu ana B, je kwenye soko la ajira watapimwa vipi? Ni bora sasa uanzishwe utaratibu wa kuweka maksi kwenye vyeti badala ya grade
Kawambwa atuambie vigezo vipi vitatumika selection ya F5 kwa wanafunzi waliokuwa na C2 mwaka jana sasa wamepata C ya tatu mwaka huu?