naomba mtu wa NECTA aje atoe huu utata


Inakuwaje mwanafunzi anapata jumla ya alama 45 anapewa daraja la IV na mwingine anapata jumla ya alama 42 anapewa daraja 'sifuri'sifuri'?

S3133/0088 M 45 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S3133/0092 M 42 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
S3133/0095 M 43 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S3133/0089 M 40 IV CIV - 'D' HIST - 'F' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'E'
 
B+ haiwezi kuwa sawa na B flat. au A+ ni tofauti na A. Kimsingi sikuona haja kwa form four kutumia mfumo huu.
mdogo wangu kapata B 6 na A 1 kapata one ya 16 aliyepata B+ 6 na A+ kapata one points 13.
Tutazoea tu tutaona kawaida.
 

Aiseee hapa kazi ipo!...
 

...tUENDELEE KUSHANGAA WOTE NDUGU YANGU.,,MIMI SASA NASUBIRI KAULI YA RAISI TU..

HAKUNA MTU WA NECTA ATANISHAWISHI HAPA.
 
Kifungu cha 20(6) cha Kanuni za Mitihani kinaelekeza kuwa mtahiniwa atakuwa amefaulu angalau kwa kupata D mbili au C moja. Hivyo aliyepata e zote hajafaulu hata somo moja licha ya kuwa na pointi 42 atakuwa Div.0.

..kawaida yenu kukimbilia vifungu,,unasahau kwamba vimetungwa na binadamu ambao wameridhika na wala havitawaathiri..
Maskini wa nchi hii wakimbilie wapi? Nyie watoto wenu wanasoma huko ma Saints.
 
kwa hiyo mlikuwa wengi mkshindwa hata kushauriana jinsi mnavo poromosha elimu,,au hata kugomea utaratibu,,,,NYIE NDO HATA MKIAMBIWA WAFUTE MITIHAN YA FORM 4 MTAKUBALI,,,,,ukienda mwakani waambie kuna engineer anasema hajawah kuona watu wajinga kama nyie
 

brother uko very comptent kwny kufkilia mambo big up sana bro hebu 2one wenye nchi watasemaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…