Naomba mtuambie tunaoishi kwa Mpalange tumewakosea nini?

Naomba mtuambie tunaoishi kwa Mpalange tumewakosea nini?

Ishu sio kwa mpalange tatizo lipo kwenye Ile njia unayoelekea kwa mpalange....mbunge akipita tutamuomba atuwekee lami maana tope la pale mvua ikinyesha inaakisi kabisa na kipenyo Cha mstatili
Inaonekana hujapita njia hiyo muda mrefu,kuanzia kwa mama kibonge/njia panda kitunda kunajengwa lami ya kisasa,darajani kwa mpalange lile daraja limebomolewa linajengwa la kisasa,njia ya lami inaanzia njia panda kitunda inapita kwa mparange inaenda kirungure na kutokea mbagala zakhem.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana hujapita njia hiyo muda mrefu,kuanzia kwa mama kibonde/njia panda kitunda kunajengwa lami ya kisasa,darajani kwa mpalange lile daraja limebomolewa linajengwa la kisasa,njia ya lami inaanzia njia panda kitunda inapita kwa mparange inaenda kirungure na kutokea mbagala zakhem.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
kukiwa hivyo itakuwqa siyo nja pendwa tena waiche tuuuuu
 
Inaonekana hujapita njia hiyo muda mrefu,kuanzia kwa mama kibonge/njia panda kitunda kunajengwa lami ya kisasa,darajani kwa mpalange lile daraja limebomolewa linajengwa la kisasa,njia ya lami inaanzia njia panda kitunda inapita kwa mparange inaenda kirungure na kutokea mbagala zakhem.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa taarifa Ila wiki iliyopita nilikutana na vumbi kwenye hiyo njia Sasa sijui hyo lami wanajenga wapi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe huwa kuna location kabisa inaitwa hivyo?

Kule kwa mpalange kwingine kume trend kuliko original mpalange
 
Juzi nipo polisi akaja dada pale kaunta anamshtaki mpenzi wake eti kampeleka kwa Mparange kwa nguvu wakati yeye hajawahi kwenda huko. Askari wakabaki wanashangaa tu.....
 
Back
Top Bottom