Naomba muangalie bajeti wiring ya vyumba viwili je ni sawa

Naomba muangalie bajeti wiring ya vyumba viwili je ni sawa

amepro12

Member
Joined
Jul 18, 2026
Posts
18
Reaction score
30
Habari wanaJF!

Nieende moja kwa moja kwenye mada tajwa.

Nimemuita mfunga wiring anifanyie mahesabu ya vifaa na gharama zake, na imekuwa kama ilivyoambatanishwa apo chini kwenye attachment.

Je izo gharama ni kweli?
Jumla imekuja 215K
Ahsante!

IMG_20261026_144322_345.jpg
 
We fungiwa bhana kama huna hela nunua sola vijana wakale wapi?
 
Hiyo ni fundi wa uhakika ukitaka fundi wa bei nafuu na vifaa vya bei nafuu tegemea lolote baada ya kuunganishiwa umeme, tatizo lenu nyie wenye nyumba hamuwaamini mafundi, ila ukikutana na fundi dalali unajaa kwenye mfumo na unapigwa
 
mi kama fundi huyo fundi mwenzangu yupo sahihi na haukuwa na haja ya kutomwamini had kuomba ushauri kwa esabu hizo alizo piga
 
Hiyo ni fundi wa uhakika ukitaka fundi wa bei nafuu na vifaa vya bei nafuu tegemea lolote baada ya kuunganishiwa umeme, tatizo lenu nyie wenye nyumba hamuwaamini mafundi, ila ukikutana na fundi dalali unajaa kwenye mfumo na unapigwa
Mtazamo wako ni upi sasa boss?
 
Hofu ni bei au idadi ya vifaa alivyoorodhesha?

Kanunue mwenyewe ila earth rod iwe copper kweli siyo magumashi.

Halafu mzee mmoja (fundi yupo TANESCO) alinishauri hizo nyaya za 1.5mm² na 2.5mm² ninunue single badala ya twin!
 
Mashaka yako tu hapo Mkuu, fundi hajakunja kabisa
 
Hongera sana comrade umefanya vema kufatilia ili kulinganisha gharama.

Kuna mafundi ukizubaa tu ni utapigwaaa


Safi sana

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom