hahhahahhaaVibatari ndo nini boss
hahhahahhaaVibatari ndo nini boss
Fundi muaminifu sana huyu.Habari wanaJF!
Nieende moja kwa moja kwenye mada tajwa.
Nimemuita mfunga wiring anifanyie mahesabu ya vifaa na gharama zake, na imekuwa kama ilivyoambatanishwa apo chini kwenye attachment.
Je izo gharama ni kweli?
Jumla imekuja 215K
Ahsante!
View attachment 3699737
Gharama za sola atazimudu?We fungiwa bhana kama huna hela nunua sola vijana wakale wapi?
Kwahiyo anayeingia JF ni wewe tu (fundi wako haiingii)? Yeye mwenyewe akiingia hapa na kuyaunga mkono hayo makadrio utajuaje?Habari wanaJF!
Nieende moja kwa moja kwenye mada tajwa.
Nimemuita mfunga wiring anifanyie mahesabu ya vifaa na gharama zake, na imekuwa kama ilivyoambatanishwa apo chini kwenye attachment.
Je izo gharama ni kweli?
Jumla imekuja 215K
Ahsante!
View attachment 3699737
Ahsante.Hofu ni bei au idadi ya vifaa alivyoorodhesha?
Kanunue mwenyewe ila earth rod iwe copper kweli siyo magumashi.
Halafu mzee mmoja (fundi yupo TANESCO) alinishauri hizo nyaya za 1.5mm² na 2.5mm² ninunue single badala ya twin!
Njoo pmFundi muaminifu sana huyu.
Amekupa gharama za ufundi??
Naomba uniunganishe na huyu fundi.
Vyumba vingapi ?Na Huyu