Naomba muangalie bajeti wiring ya vyumba viwili je ni sawa

Fundi muaminifu sana huyu.
Amekupa gharama za ufundi??
Naomba uniunganishe na huyu fundi.
 
Kwahiyo anayeingia JF ni wewe tu (fundi wako haiingii)? Yeye mwenyewe akiingia hapa na kuyaunga mkono hayo makadrio utajuaje?
 
Hofu ni bei au idadi ya vifaa alivyoorodhesha?

Kanunue mwenyewe ila earth rod iwe copper kweli siyo magumashi.

Halafu mzee mmoja (fundi yupo TANESCO) alinishauri hizo nyaya za 1.5mm² na 2.5mm² ninunue single badala ya twin!
Ahsante.
Vipi alitoa sababu ya kwanini single na sio twin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…