Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
Hivi unaweza kununua na kusajiri Znz, kisha ukaiombea kibali ata cha 6 months ije Tanzania.Anza na ushuru
Ushuru Zanzibar upo chini kidogo hivyo unapotaka kuhamisha usajili Tanganyika unaangaria ushuru wa gari hiyo Tanganyika toa ushuru wa Zanzibar hicho ndio utakuwa unadaiwa
Hivyo kama unalinunua hiki muhimu kujua unawezakuta ukatamanishwa bei kumbe ni nusu ya ushuru
Aisee yule agent anataka kunipija amenambia kadi elfu 60 na vibao elfu 35000 aisee1. TRA
2. Vibao + Kadi = 40,000/= hivi.
Sister usihangaike kma gari ipo znz njoo tuwasiliane nikufanyie mpango isafirishwe bila ya shidaAisee yule agent anataka kunipija amenambia kadi elfu 60 na vibao elfu 35000 aisee
oaoaAisee yule agent anataka kunipija amenambia kadi elfu 60 na vibao elfu 35000 aisee
Sure. Ukiwa na kadi na NIDA yenye jina sawa na kadi yako ya gari tayari.vibao kachongeshe mwenyewe, karikoo au mwenge kama uno Tanzania na siyo tanzagiza
Dada unakabia sana kwa juu, achia kidogo watu wapate ya kongolo.Aisee yule agent anataka kunipija amenambia kadi elfu 60 na vibao elfu 35000 aisee
Ushuru wa Zanzibar unaipataje?Anza na ushuru
Ushuru Zanzibar upo chini kidogo hivyo unapotaka kuhamisha usajili Tanganyika unaangaria ushuru wa gari hiyo Tanganyika toa ushuru wa Zanzibar hicho ndio utakuwa unadaiwa
Hivyo kama unalinunua hiki muhimu kujua unawezakuta ukatamanishwa bei kumbe ni nusu ya ushuru
Ulikamilisha mkuu?Habari zenu naomba kuuliza ukitoa gari znz kupeleka dar ikifika hatua hadi unatumiwa controll number ukalipie usajili je baada ya hapo unalipa tena pesa kwa ajili ya kadi ya gari na plate number?