zantana
Member
- Aug 31, 2021
- 38
- 35
Habari wana JF, nimeapply hizi nafasi za kazi za jeshi zilizotolewa Mei, 2024.
Je, nitegemee nini baada ya kupita usaili?
Nina degree nmeapply kwenye Kategoria ya Forensics. Naomba kujua mchakato mzima huwa unaendaje: usaili lini, majibu baada ya muda gani, mafunzo ya jeshi ni mda gani, na kama nitafanyia kazi fani yangu.
Natanguliza shukrani.
Nawasilisha🤝