Haya ndio mambo yaliyomsaidia Ndugu wa karibu kwa 100%
Usitegemee dawa sio suluisho la kudumu.!
Zingatia Mazoezi
Fanya mazoezi ya squats sana na push up
Nenda gym /kama ghali tafuta hata local gym..
Push weight haswa fanya mazoezi kama vile unataka kuwa bodybuilder (YouTube totorial) hakikisha unafanya kila mazoezi kwa usahihi .
Na ufanye kweli maana mwanzo mgumu lakin baada ya miezi kadhaa mwili utazoea.
Dawa ya asili
Tengeneza mchangayiko huu...
*Habat souda ya unga (unapatikana kariakoo maduka ya kisuna)
Utachanganya na
*asali mbichi
*vitunguu saumu (vile vya kienyeji) - unavisaga
*Tangawizi mbichi...(unasaga/twanga)
Tengeneza mchanganyiko wa kutosha wa kula hata siku 3.
Utaacha kwa masaa hata 6+ baada yakutengeneza
Unakula vijiko vinne kila siku asubuhi kabla ya kula chochote.
Soma online faida za tangawizi/asalina swaumu utajua kwanini...
Pia jitahdii ubadilishe mtazamo wako. Na kuamini tatizo uta lisolve
Ukiafanya hivyo ilo tatizo litaisha ndani ya miezi michache sana