Boss ukiachana na hizi giants brands kampuni gani iko vizuri mkuu make baadhi ya maduka wanaziponda sana hisense kwanmba hazina tofauti na zingine wao wanauzia jina tu
Ukiachana na majina,
Tv ya Bei NAFUU kwa kufuata ubora wa picha na uimara.
Chukua kampuni ya GOOD VISION au Singsung.
Ukipata BOSS pia nao wazur Sana, Bei reasonable.
Goodvision Ni kampuni Tanzu ya LG, wanaungiliana kila kitu kuanzia vioo, circuits mpk remote.
Kama ilivyo kwa Singsung kwa SAMSUNG, nao wanaingiliana vioo na circuits.
Wanatoa bidhaa zao quality Sana na Bei NAFUU mno.
Tv za good vision nmeziuza tangu 2018,
Sijawahi kukutana hata Moja kwa fundi tv zaidi ya zile za kuvunjika vioo.
NB: Siku hizi Goodvision wanatoa Double screen, kwaiyo wameimarisha sana
Tv za singsung zimetoka zaman Sana (Nadhan kwenye 2010 hv),
ila nazo utakuna nazo chache sana kwa fundi zenye matatizo ya kiufundi, Tena zile za zamani Sana miaka ya 2010-2015.
NB: Hawa hawana double screen, Ni kioo kimoja tu. Ukijichanganya umepasua.
Sent using
Jamii Forums mobile app