DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Hisense za UK zinafungwa kwenye box za kaki tupu zikiwa na maandishi meusi ya HISENCE.
UKIIBEBA Ni nzito afu maandishi ya HISENSE pamoja na model namba yake vimeprintiwa/chomelewa kwenye fremu kabisa (haibanduki).
Na tv imeandikwa kabisa "made in UK"
Hisense za South Africa zinafungwa kwenye box za kaki zilizochanganywa na light blue
Afu Ni nyepesi , neno Hisense limepribtiwa na kuchelewa kwenye fremu ila na model number imebandikwa kwa stika nyeusi yenye maandishi meupe pamoja na kuandikwa "made in RSA"
HISENsE za China zinafungwa kwenye box nyeupe zilizochanganywa na light blue
Ni nyepesi , neno Hisense limebandikwa na na stika ngumu ya plastick ila haijachomelewa, na model number nyuma ya tv imebandikwa kwastika nyeupe yenye maandishi meusi.
Na imeanidkwa kabisa "made in P.R.C"