Shark's Style
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 312
- 182
Mkuu deep pond unazungumziaje TV za TCL hizi android?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UtazijuajeeHisense kwasasa ziko Aina 3
1. Hisense made in China
2. Hisense made in South Africa
3. Hisense made in UK
Bei zake zinatofautiana kutokana umenunua ya wapi, Kama huzijui unaweza uziwa Hisense ya China kwa Bei ya Hisense ya UK.
KISHA UKAJUTIA PESA YAKO
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uneshajua jinsi ya kuzitofautishaAhsante mkuu umenifumbua macho
Tcl wako vizur,Mkuu deep pond unazungumziaje TV za TCL hizi android?
Poor quality,Wadau kuna na hizi TV za Itel naona sana mtangazo yake , vipi quality yake ziko vizuri au midosho ?
Kama kweli ni muuzaji mzoefu nipe bei ya hisense 55 kwa sasa na Goodvision 55Alitop kwasasa ndio cheapest TV in town.
Kama una pesa Nakushauri
ongezea ununue TV inayoeleweka,
maana tofauti yake na Zile za kawaida ila standard Kama GOOD VISION, SOYI, SUNDAR, ABORDER, BOSS n.k ni kamaa elfu 20 mpk 30 (haizidi elfu 50).
NB: Naongea Kama muuzaji mzoefu
Hapo kwenye LG hapanaTv ni samsung,sony na Lg tu.wengine minaona kama washiriki tu
Bei hizo Apo mkuuKama kweli ni muuzaji mzoefu nipe bei ya hisense 55 kwa sasa na Goodvision 55
Au hata hisense 43 smart na Goodvision 43 smart. Kidogo nmepunguza heshima yangu kwako.
Mtoa mada kaongelea alitop 32"55 hisense kwa sasa ina range 1,550,000 had 1,600,000 inategemea
Wakat soyi ambae ndio Goodvision kwa sasa had 1,150,000 unapata au chini ya hapo. So ni vizur ukamwambia mshikaji ukweli
Kingine kusema tv za hisense znapatikana kwa wingi ni uongo
32 smart, 43 smart, 50, 55, 58, 65 hizi kupata ni mtihani sanaaa japo znapatikana kwa uchache ila bei kubwa. So mwambie ukweli kama ana hela aongeze ila sio kumdanganya aongeze 30 had 50
Mkuu vipi kuhusu Aborder, wao ubora wao ukoje, na nimeona wametoa 32" smart TV, ikoje hii pia, nahitaji kuchukua hiiMtoa mada kaongelea alitop 32"
Ambayo Bei ya sokoni mpya Ni 270,000
Hizo nyingne unazotaja, uwezo wake haujafika hapo
wakati goodvision mpya Ni 295,000
Ambapo soyi mpya bei Yake Ni 280,000
Hata Kama wauzaji wanatofautiana vipi
Utofauti wa Bei hauwezi kuzidi elfu 20, 30 maximum 50.
Vinginevyo awe kapigwaView attachment 2194415View attachment 2194416
55 hisense kwa sasa ina range 1,550,000 had 1,600,000 inategemea
Wakat soyi ambae ndio Goodvision kwa sasa had 1,150,000 unapata au chini ya hapo. So ni vizur ukamwambia mshikaji ukweli
Mazuri yao:Mkuu vipi kuhusu Aborder, wao ubora wao ukoje, na nimeona wametoa 32" smart TV, ikoje hii pia, nahitaji kuchukua hii
Asante
Kwenye boss umenena. Nilinunua ya kusukumia muda ila ni mwaka wa tatu inaelekea ipo fresh kabisaaUkiachana na majina,
Tv ya Bei NAFUU kwa kufuata ubora wa picha na uimara.
Chukua kampuni ya GOOD VISION au Singsung.
Ukipata BOSS pia nao wazur Sana, Bei reasonable.
Goodvision Ni kampuni Tanzu ya LG, wanaungiliana kila kitu kuanzia vioo, circuits mpk remote.
Kama ilivyo kwa Singsung kwa SAMSUNG, nao wanaingiliana vioo na circuits.
Wanatoa bidhaa zao quality Sana na Bei NAFUU mno.
Tv za good vision nmeziuza tangu 2018,
Sijawahi kukutana hata Moja kwa fundi tv zaidi ya zile za kuvunjika vioo.
NB: Siku hizi Goodvision wanatoa Double screen, kwaiyo wameimarisha sana
Tv za singsung zimetoka zaman Sana (Nadhan kwenye 2010 hv),
ila nazo utakuna nazo chache sana kwa fundi zenye matatizo ya kiufundi, Tena zile za zamani Sana miaka ya 2010-2015.
NB: Hawa hawana double screen, Ni kioo kimoja tu. Ukijichanganya umepasua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahii kabisa,Kwenye boss umenena. Nilinunua ya kusukumia muda ila ni mwaka wa tatu inaelekea ipo fresh kabisaa