Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Alitop & Co ni TV za kusukumia muda tu. Hi-Sense mbona zipo nyingi tu na ni tv nzuri ulipata OGNahitaji kununua TV priority yangu ilikua hisense na skyworth ila katika zunguka yangu hizi TV zimekua adimu sana ila wauzaji wamenambia alitop ni best TV kwa upande wa picha na mimi pia nimelidhibitisha ukicompare na TV nyingine ikifatiwa na home base.
Naombeni anayejua mapungufu yake anishauri kabla sijachukua maamuzi.
Kuna mtu ananunua inch 43 kwa kujaribuTulia hapohapo wanakuja kukupa muongozo, ila umezidi uongo wewe sema budget ndio inakusukumia kwenye Alitop
Boss ukiachana na hizi giants brands kampuni gani iko vizuri mkuu make baadhi ya maduka wanaziponda sana hisense kwanmba hazina tofauti na zingine wao wanauzia jina tuKwenye Quality ya picha nakukatalia 100%.
Hayo Ni Maneno ya kuiuzaji, walichoboresha pale Ni brightness TU, ila kwenye color quality ni Changamoto.
Hiyo alitop ninayo Hapa dukan kwangu MDA huu nnapoandika Uzi huu.
Nisharudisha tv mbili kwa mzalishaji kwasababu ya shida ya kuungua taa za backlight na nyingine kuungua kadi ya picha
Nimefanyiwa replacement,
Moja nmefanikiwa kuiuza sijapata malalamiko. Hi nyingine ilobaki ikikaa MDA mrefu sana inawaka, spika yake inaanza kukoroma.
Ukiifunga na tv guard tatzo linakoma, kwasasa nmebd nisiiwashe ila akija mteja namuwashia na kila kitu kinakaa fresh.
Na wateja wanaonunua nawaongezea Cha juu ili walipie na tv guard niepuke lawama isije kuungua mapema nikafukuza wateja Wangu[emoji120]
Jamaa mwingine alinambia homebase ni bora sana haina tofauti na SamsungAlitop kwasasa ndio cheapest TV in town.
Kama una pesa Nakushauri
ongezea ununue TV inayoeleweka,
maana tofauti yake na Zile za kawaida ila standard Kama GOOD VISION, SOYI, SUNDAR, ABORDER, BOSS n.k ni kamaa elfu 20 mpk 30 (haizidi elfu 50).
NB: Naongea Kama muuzaji mzoefu
Homebase wako vizur ila hawawez kufikia samsungJamaa mwingine alinambia homebase ni bora sana haina tofauti na Samsung
Ukiachana na majina,Boss ukiachana na hizi giants brands kampuni gani iko vizuri mkuu make baadhi ya maduka wanaziponda sana hisense kwanmba hazina tofauti na zingine wao wanauzia jina tu
Hisense sahv zipo za China,Hizo Ni chenga tupu.Za south africa ndo imara sanaHujakosa Hisense sema Huna hela.
Ninazo hata mimi ukitaka.
Hiyo brand unayosema haijaingia sokoni muda mrefu kwa hiyo huwezi kupata uzoefu toka kwa mlaji
Bila shaka uchumi wake unabanaKwenye nchi yenu brand kama LG,Samsung,sony,Panasonic Zimepigwa marufuku? Hizo ulizotaja si ni toys kabisa?
Hisense kwasasa ziko Aina 3Boss ukiachana na hizi giants brands kampuni gani iko vizuri mkuu make baadhi ya maduka wanaziponda sana hisense kwanmba hazina tofauti na zingine wao wanauzia jina tu
Ahsante mkuu umenifumbua machoHisense kwasasa ziko Aina 3
1. Hisense made in China
2. Hisense made in South Africa
3. Hisense made in UK
Bei zake zinatofautiana kutokana umenunua ya wapi, Kama huzijui unaweza uziwa Hisense ya China kwa Bei ya Hisense ya UK.
KISHA UKAJUTIA PESA YAKO
Sent using Jamii Forums mobile app