Naomba mwenye amewahi kutumia TV za Alitop anisaidie kujua strength na weakness zake

Hisense za UK zinafungwa kwenye box za kaki tupu zikiwa na maandishi meusi ya HISENCE.
UKIIBEBA Ni nzito afu maandishi ya HISENSE pamoja na model namba yake vimeprintiwa/chomelewa kwenye fremu kabisa (haibanduki).
Na tv imeandikwa kabisa "made in UK"

Hisense za South Africa zinafungwa kwenye box za kaki zilizochanganywa na light blue
Afu Ni nyepesi , neno Hisense limepribtiwa na kuchelewa kwenye fremu ila na model number imebandikwa kwa stika nyeusi yenye maandishi meupe pamoja na kuandikwa "made in RSA"

HISENsE za China zinafungwa kwenye box nyeupe zilizochanganywa na light blue
Ni nyepesi , neno Hisense limebandikwa na na stika ngumu ya plastick ila haijachomelewa, na model number nyuma ya tv imebandikwa kwastika nyeupe yenye maandishi meusi.
Na imeanidkwa kabisa "made in P.R.C"
 
Kumbe WA gonjwa wengi humu.......wee umesikia wapi kuna TV inaitwa alitop kama sio China's sheet.......nunua uone inavyogeuka Chini juu juuchini ndio utakuwa umejifunza
ALITOP Ni kampuni iliyoibuka baada ya kufa kwa kampuni kongwe ya AILIPU pamoja na AYLIPU

Hizi Ni kampuni za Zamani Sana, Sema magu aliwanyoosha wakafilisika na kubadili jina la kampuni.

Yaani Mmliki Ni yule yule[emoji4]
 
ALITOP Ni kampunj iliyoibuka baada ya kufa kwa kampuni ya AILIPU pamoja na AYLIPU

Yaani Mmliki Ni yule yule[emoji4]
Namjua huyo ni mwalimu WA ufundi veta ya China🤣🤣😂😂😂😂
 
Kwan hisence si mali ya mchina?? Au sio bland ya mchina
 
Hisense 43'' 4k iyo ya UK Ni sh ngapi?
Na iyo ya SA Ni sh?
 
Ooh umefanya la maana at least kupata reference kutoka kwa watu.
Ingawa watu humu watakujibu kwa mapenzi na sio kwa facts zakukusaidia kufanya maamuzi sometimes, but don't buy Hiyo Alitop, most of these Chinese tv zina changamoto ya kuunguza backlight za display, zina changamoto ya circuit yake ku seize gafla hasa ukiwa kwenye maeneo yenye power fluctuations, quality ya images (colours hazipo poa,) kwa machina brand reputable zipo ie TCL, hisense (Hisense kuna inatoka china na kuna inayotoka South Africa), na evol naona wapo poa
 
Mwenye kujua password za goodvision 32".

Tv yangu ghafla toka majuzi nikiiwasha inareta message hii yani zimebaki dk 4 ijizime automatic yenyewe,nilifikiri kuifanyia system recovery lakini nilipofika hapo inadai passwor ambazo sijawahi kuweka na sizijui....msaada kwa wajuzi wa mambo
 
1.km una ile manual hua zinakuwepo taarifa zao.
2.nenda kwa agent watakua na hizo code.
3.ingia kwenye website yao utapata data zaidi
 
Nna skyworth mwaka wa 4 huu, iko poa sana. Hisense nayo ni brand nzuri, natumia washing machine yake, na kuna mdau ana TV ya hisense anaisifia sana.
Achana na Allitop
 
Mkuu hyo tv 32 inakwendaje
 
Sasa nitajuaje kama hii ni ya kichina au SA n.k?
 
Nikutumie namba za Goodvision makao makuu, wanaweza kukusaidia hili suala lako.
 
Naomba mawasiliano nahitaji tv
Omba mawasiliano nahitaji tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…