Nilifanya masomo nane ya arts pamoja na kemia kwaio ili nipate cheti kipya inatakiwa nifanye yote naneKwanza inategemea masomo ya aina gani science au art?
Usajiri umeshafungwa ungewahi mwakani mwezi wa pili .
Unatakiwa uende kituo (shule,) utskayofanyia mtihani unalipa 50000, ili wakupe namba ya mtihani .
Then utaenda posta kuchukua fomu ya necta na kujaza ili uombe kufanya mtihani ni 15000.
Kisha subiri kati kati ya mwezi huo watakuja kuhakiki pale kituo utachofanyia mtihani ikiwemo namba yako mpya na ya zamani, then masomo mangapi umechukua.
Kama ni art basi ukichukua masomo chini ya saba utaendelea na cheti kile kile.
Ukichukua saba ndio unapata cheti kipya cha mwanzo kinavunjwa.
Pia ni ngumu kupata hata division 3 iwapo utachukua masomo chini ya 7 kwa na,9, kwa science..
Hapana saba pia yanatosha sababu kiwango kinachotakiwa cha masomo ya art ni 7 tu mkuu hapo utapata cheti kipya.Nilifanya masomo nane ya arts pamoja na kemia kwaio ili nipate cheti kipya inatakiwa nifanye yote nane
Ushauri, sajili masomo ambayo utaweza kuyafanya, ila kama kuna somo utashindwa kulifanya wataweka nyota tu cheti unapata. Cheti kinatoka ukipata KUANZIA D mbili au C moja.Na kama mtu akisajili masomo yote lakini akashindwa kufanya somo moja wapo atapata cheti au itakuaje
Na je kuna limitation ya muda toka umemaliza elimu ya sekondari maana kwa sasa mimi nina mwaka wa 9 na bado nina ndoto ya kurudia mtihani wa kidato cha nne mwakani!Ushauri, sajili masomo ambayo utaweza kuyafanya, ila kama kuna somo utashindwa kulifanya wataweka nyota tu cheti unapata. Cheti kinatoka ukipata KUANZIA D mbili au C moja.
Hakuna Limitation, Kipindi unajisajili wao wataomba tu namba yako ya kidato cha nne ya miaka hiyo na watakupatia namba mpyaNa je kuna limitation ya muda toka umemaliza elimu ya sekondari maana kwa sasa mimi nina mwaka wa 9 na bado nina ndoto ya kurudia mtihani wa kidato cha nne mwakani!
Nashukuru sana kwa mwongozo vipi na cheti kitaandikwa mwaka nilio rudia mtihani au kitakua kipya lakini mwaka ule uleHapana saba pia yanatosha sababu kiwango kinachotakiwa cha masomo ya art ni 7 tu mkuu hapo utapata cheti kipya.
Cheti kipya kinaandikwa mwaka uliorudia mtihaniNashukuru sana kwa mwongozo vipi na cheti kitaandikwa mwaka nilio rudia mtihani au kitakua kipya lakini mwaka ule ule
Na je ikitokea mtu usiridhike na matokeo mapya unaweza kuendelea na cheti cha zamani au kinakua kimeshafutwa.Cheti kipya kinaandikwa mwaka uliorudia mtihani
Cheti kitaandikwa mwaka uliofanya mtihani kama ni mwaka kesho basi kitaandikwa 2023..Nashukuru sana kwa mwongozo vipi na cheti kitaandikwa mwaka nilio rudia mtihani au kitakua kipya lakini mwaka ule ule
Na je ikitokea mtu usiridhike na matokeo mapya unaweza kuendelea na cheti cha zamani au kinakua kimeshafutwa.
Somo moja sidhani, nachojua ni masomo angalau mawili, I STAND TO BE correctedNami nahitaji kufanya mtihani wa somo moja pekee la Biology ambalo si kulifanya hapo kabla.Cheti changu kina masomo 10,je,naweza kuongeza somo la 11?.Muongozo wadau.
Somo moja wanaruhusu, ila uwe na uhakika wa kupata kuanzia alama C ,ukipata chini ya hapo hupati cheti.Somo moja sidhani, nachojua ni masomo angalau mawili, I STAND TO BE corrected