Naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kurudia masomo ya kidato cha nne

Naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kurudia masomo ya kidato cha nne

Status
Not open for further replies.
Somo moja wanaruhusu, ila uwe na uhakika wa kupata kuanzia alama C ,ukipata chini ya hapo hupati cheti.
Cheti tayari ninacho.Ninachohitaji ni kuongeza somo la Biology kwenye cheti changu japo nilishafanya masomo 10.
 
Cheti tayari ninacho.Ninachohitaji ni kuongeza somo la Biology kwenye cheti changu japo nilishafanya masomo 10.
Huwa hawaedit cheti cha zamani ndugu, wanatoa cheti kipya, kwaiyo kama utafanya somo moja na ukapata chini ya alama C utapewa RESULT SLIP TU ,

Utakuwa unatumia namba mbili za form IV kila uendapo kitaaluma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom