Mgimilamaganga JF-Expert Member Joined Mar 31, 2019 Posts 271 Reaction score 260 Jul 6, 2022 #21 Chief_mataka said: Somo moja wanaruhusu, ila uwe na uhakika wa kupata kuanzia alama C ,ukipata chini ya hapo hupati cheti. Click to expand... Cheti tayari ninacho.Ninachohitaji ni kuongeza somo la Biology kwenye cheti changu japo nilishafanya masomo 10.
Chief_mataka said: Somo moja wanaruhusu, ila uwe na uhakika wa kupata kuanzia alama C ,ukipata chini ya hapo hupati cheti. Click to expand... Cheti tayari ninacho.Ninachohitaji ni kuongeza somo la Biology kwenye cheti changu japo nilishafanya masomo 10.
Chief_mataka Member Joined Jan 27, 2022 Posts 97 Reaction score 95 Jul 7, 2022 #22 Abd al Qadir said: Cheti tayari ninacho.Ninachohitaji ni kuongeza somo la Biology kwenye cheti changu japo nilishafanya masomo 10. Click to expand... Huwa hawaedit cheti cha zamani ndugu, wanatoa cheti kipya, kwaiyo kama utafanya somo moja na ukapata chini ya alama C utapewa RESULT SLIP TU , Utakuwa unatumia namba mbili za form IV kila uendapo kitaaluma.
Abd al Qadir said: Cheti tayari ninacho.Ninachohitaji ni kuongeza somo la Biology kwenye cheti changu japo nilishafanya masomo 10. Click to expand... Huwa hawaedit cheti cha zamani ndugu, wanatoa cheti kipya, kwaiyo kama utafanya somo moja na ukapata chini ya alama C utapewa RESULT SLIP TU , Utakuwa unatumia namba mbili za form IV kila uendapo kitaaluma.