GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani GENTAMYCINE niwe Rais tena wa nchi kama ya Puerto Rico ambayo najua kuwa Kwanza ina Wajinga na Wapumbavu wengi, Washamba wengi, Masikini ndiyo hawahesabiki, Maisha ya Wananchi wangu kuwa ni magumu huwa kila Siku wakiwa hawana Furaha halafu niende Kikazi Ziarani nijione nimemaliza na nipate muda wa Kujipiga 'Selfie' tena nikiwa Nacheka kabisa napata hata muda wa Kutizama na ku Edit Picha nikiwa katika Gari linalotembea?
ANGALIZO
Nchi niliyoitaja hapa ni ya Puerto Rico ambayo ndiyo Makazi yangu sasa Wewe jipendekeze ukutane na Dhahama Ok?
ANGALIZO
Nchi niliyoitaja hapa ni ya Puerto Rico ambayo ndiyo Makazi yangu sasa Wewe jipendekeze ukutane na Dhahama Ok?