GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ina maana umesahau Obama na tena selfie na lile lifimbo kabisa selfie kwa mbali🤣Yaani GENTAMYCINE niwe Rais tena wa nchi kama ya Puerto Rico ambayo najua kuwa Kwanza ina Wajinga na Wapumbavu wengi, Washamba wengi, Masikini ndiyo hawahesabiki, Maisha ya Wananchi wangu kuwa ni magumu huwa kila Siku wakiwa hawana Furaha halafu niende Kikazi Ziarani nijione nimemaliza na nipate muda wa Kujipiga 'Selfie' tena nikiwa Nacheka kabisa napata hata muda wa Kutizama na ku Edit Picha nikiwa katika Gari linalotembea?
ANGALIZO
Nchi niliyoitaja hapa ni ya Puerto Rico ambayo ndiyo Makazi yangu sasa Wewe jipendekeze ukutane na Dhahama Ok?
Alikuwa katika Shughuli za Kikazi? Nasubiria jibu lako Mkuu.Ina maana umesahau Obama na tena selfie na lile lifimbo kabisa selfie kwa mbali🤣
Samahani Mkuu naizungumzia nchi ya Puerto Rico nilipo hapa na siyo huko Tanzania Kwenu ambako Rais wenu anachapa Kazi kweli kweli na sasa mnakimbizana Kiuchumi hadi na nchi za Marekani, Uingereza, Ujerumani, Canada na Ufaransa.Samia haogembei tena na haya yanatokea sasa ni Mipango chokonizi/makusudi ambayo imepangwa ili kutughafilisha vipatikane vijisababu vya kujiengua,,kwa akili ya kawaida sidhani kama amefanya Kwa Bahati mbaya?"Behind the Scene(Nyuma ya Pazia),,For This Earth is Humans Made"###HayatokeiKwaBahatiMbaya###
Subiri kwanza kwani wahusika bado hawajanijibu kama niweke au la.Yaani GENTAMYCINE niwe Rais tena wa nchi kama ya Puerto Rico ambayo najua kuwa Kwanza ina Wajinga na Wapumbavu wengi, Washamba wengi, Masikini ndiyo hawahesabiki, Maisha ya Wananchi wangu kuwa ni magumu huwa kila Siku wakiwa hawana Furaha halafu niende Kikazi Ziarani nijione nimemaliza na nipate muda wa Kujipiga 'Selfie' tena nikiwa Nacheka kabisa napata hata muda wa Kutizama na ku Edit Picha nikiwa katika Gari linalotembea?
ANGALIZO
Nchi niliyoitaja hapa ni ya Puerto Rico ambayo ndiyo Makazi yangu sasa Wewe jipendekeze ukutane na Dhahama Ok?
Samahani pia,,nami nazungumzia hiyo hiyo Puerto Rico kwani kuna sehemu nimetaja Tz?Samahani Mkuu naizungumzia nchi ya Puerto Rico nilipo hapa na siyo huko Tanzania Kwenu ambako Rais wenu anachapa Kazi kweli kweli na sasa mnakimbizana Kiuchumi hadi na nchi za Marekani, Uingereza, Ujerumani, Canada na Ufaransa.
Uzi ufungwe sasa
Hiyo apo obama alivyokuwa raisiYaani GENTAMYCINE niwe Rais tena wa nchi kama ya Puerto Rico ambayo najua kuwa Kwanza ina Wajinga na Wapumbavu wengi, Washamba wengi, Masikini ndiyo hawahesabiki, Maisha ya Wananchi wangu kuwa ni magumu huwa kila Siku wakiwa hawana Furaha halafu niende Kikazi Ziarani nijione nimemaliza na nipate muda wa Kujipiga 'Selfie' tena nikiwa Nacheka kabisa napata hata muda wa Kutizama na ku Edit Picha nikiwa katika Gari linalotembea?
ANGALIZO
Nchi niliyoitaja hapa ni ya Puerto Rico ambayo ndiyo Makazi yangu sasa Wewe jipendekeze ukutane na Dhahama Ok?
Kuna ujumbe lkn utaishia kutukanwa.Yaani GENTAMYCINE niwe Rais tena wa nchi kama ya Puerto Rico ambayo najua kuwa Kwanza ina Wajinga na Wapumbavu wengi, Washamba wengi, Masikini ndiyo hawahesabiki, Maisha ya Wananchi wangu kuwa ni magumu huwa kila Siku wakiwa hawana Furaha halafu niende Kikazi Ziarani nijione nimemaliza na nipate muda wa Kujipiga 'Selfie' tena nikiwa Nacheka kabisa napata hata muda wa Kutizama na ku Edit Picha nikiwa katika Gari linalotembea?
ANGALIZO
Nchi niliyoitaja hapa ni ya Puerto Rico ambayo ndiyo Makazi yangu sasa Wewe jipendekeze ukutane na Dhahama Ok?
Puerto Rico hapa tuna Rais aitwae Samia kama ulivyoandika katika ile Post yako? au umeshasahau kile ambacho ulikiandika?Samahani pia,,nami nazungumzia hiyo hiyo Puerto Rico kwani kuna sehemu nimetaja Tz?
Mkuu tafadhali tujikite zaidi katika Kuizungumzia Puerto Rico na siyo Tanzania ambayo naiona ina Maendeleo mengi tu.Kuna ujumbe lkn utaishia kutukanwa.
Mimi huwa nikitembea sana nchi hii huwa natamani kulia kwa life style ya Watanzania.
Watu bado wana;
1. Wanatembelea mslapa ktk mitoko
2. Watembea peku ni wengi
3. Viraka matakoni
4. Nyumba za nyasi au tembe
5. Chakula cha shida
Hilo tabasamu nikiwa rais nitalitoa wzpi
Wewe popoma acha ujanja wa mbuzi kujambia mdomo. Kama inakuuma sana Rais Samia kupiga selfie rudi kwenu Rwanda. Unajionaga una akili kumbe mpuuzi tu. Akili zako ni sawa na wale wafuasi wa Kiboko ya wachawi.Samahani Mkuu naizungumzia nchi ya Puerto Rico nilipo hapa na siyo huko Tanzania Kwenu ambako Rais wenu anachapa Kazi kweli kweli na sasa mnakimbizana Kiuchumi hadi na nchi za Marekani, Uingereza, Ujerumani, Canada na Ufaransa.
Halafu nikiwaambia hamna Akili mnakasirika. Nimesema Picha za hawa niliowataja wakiwa katika Shughuli zao za Kikazi za Kiserikali na siyo wakiwa katika Hafla zao zingine. Hivi mnaelewa nikisema Shughuli za Kiserikali? Mtaacha lini kuwa Majuha tukuka?