Naomba mwenye Picha ya Marais Biden au Putin au Kagame au Waziri Mkuu wa Uingereza wakijipiga 'Selfies' katika Shughuli za Kikazi aniwekee hapa

Wewe popoma acha ujanja wa mbuzi kujambia mdomo. Kama inakuuma sana Rais Samia kupiga selfie rudi kwenu Rwanda. Unajionaga una akili kumbe mpuuzi tu. Akili zako ni sawa na wale wafuasi wa Kiboko ya wachawi.
Yameshakuwa haya tena? Kumbe Puerto Rico hapa Rais wetu ni Samia ambaye pia ni Rais wa huko Kwenu Tanzania?
 
Haya link hiyo hapo karibu maraisi wote wa dunia wapo wakipiga selfie kwenye matukio mbali mbali hadi kwenye summits
 
Halafu nikiwaambia hamna Akili mnakasirika. Nimesema Picha za hawa niliowataja wakiwa katika Shughuli zao za Kikazi za Kiserikali na siyo wakiwa katika Hafla zao zingine. Hivi mnaelewa nikisema Shughuli za Kiserikali? Mtaacha lini kuwa Majuha tukuka?
Hapa Joe Biden yupo Delaware katoka kuhutubia wananchi wake. Vladimir Putin amepiga selfie akiwa na wanajeshi wa young activists at the Red Square in Moscow . Msho Kagame amepiga selfie akiwa kwenye mkutano wa African Business Center.
Vipi Blazaa niendelee?
 
Halaf acheni ujinga mpk wazungu wafanye kitu na sie ndo tufanye kwa iyo wazungu wakipiga selfie ingekuwa safi kwa rais kupiga nae huo ndo utumwa wa kifikra kwan lazima tuwafuate wao
 
Ni Tendo la kawaida, mnatak kuzusha mengii yaan
 
Naona gestures za Samia zimekuchanganya.

Kwanza Samia hawezi kuwa Katili kama hao washenzi unaowalamba miguu.
 
Halafu nikiwaambia hamna Akili mnakasirika. Nimesema Picha za hawa niliowataja wakiwa katika Shughuli zao za Kikazi za Kiserikali na siyo wakiwa katika Hafla zao zingine. Hivi mnaelewa nikisema Shughuli za Kiserikali? Mtaacha lini kuwa Majuha tukuka?
Hapo vipi
 
Puerto Rican people have so much more to witness before they pass away, Nchi yako ya Puerto Rico bado inasafari ndefu mno kwa hakika.
 
Kwenye kituo jumuishi pale temeke.

Zinavunjwa ndoa Mia moja kila mwezi.
 
Wewe popoma acha ujanja wa mbuzi kujambia mdomo. Kama inakuuma sana Rais Samia kupiga selfie rudi kwenu Rwanda. Unajionaga una akili kumbe mpuuzi tu. Akili zako ni sawa na wale wafuasi wa Kiboko ya wachawi.
Dawa kama inamuuma,kodi yake isitumike kumsafurisha mlengwa kwenda sehemu za wananchi wenye shida lukuki,kupiga selfie.
Nadhani kinachomuuma ni kodi.
 
nimesoma mahala putin hana smartphone na simu anayotumia yeye ni land line.
 
Iweje? Acha wivu, Dkt Samia anaupiga mwingi mpaka unamwagika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…