Naomba Mwenye Picha ya Mbowe na Viongozi wa CHADEMA Wakishiriki Msibani kwa Mama Mzazi wa Halima Mdee

Omba kazi yakupanga hata bei mwenyekiti akiwa anaongea na wakulima kwakua wewe si washamba haya mengine huyawezi
 
Utapata taabu sana.
 
Huyu kiherehere anabore!! Kujipendekeza ndokitu anajua msibani tunatafuta mapicha ili iweje? Ujinga
 
 
Soma tena andiko langu na siyo kukurupuka kama kuku aliyetoka kutaga πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ .
Nisome nini kamarada chawa?
Kichwa cha mada yako kiko wazi, sasa humo ndani si umejaza sifa na shukurani πŸ˜‚!
 
 
Acha ujinga wako na utoto wako wakijinga jinga kama Levi la gongo. Nimesema weka picha ya Mbowe halafu wewe unaleta utoto wako hapa.
Inaonesha umeumia sana ulivosikia neno mume
Au wewe ndiyo mke au mume wake
Maana nyie vijana siku hiz vijambio vinapata tabu sana

Njaa kali maisha magumu mnauza utu wenu
Pambana na hali yako
 
𝑰𝒍𝒂 π’π’šπ’Šπ’† π’˜π’‚π’•π’– π’Žπ’Žπ’†π’‚π’Žπ’–π’‚ π’Œπ’–π’Žπ’‡π’‚π’π’šπ’‚ 𝒍𝒖𝒄𝒂 π’‰π’–π’Žπ’– π’Œπ’‚π’Žπ’‚ π’šπ’–π’π’† π’Žπ’…π’‚π’…π’‚... π‘΄π’Žπ’†π’Žπ’‘π’Šπ’ˆπ’‚ π’Žπ’‚π’π’…π’† π’ƒπ’‚π’šπ’‚ π’Œπ’–π’Œπ’Šπ’Œπ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…