Naomba mwenye takwimu za vitongoji visivyo na umeme Mtwara na Lindi

Naomba mwenye takwimu za vitongoji visivyo na umeme Mtwara na Lindi

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,332
Reaction score
4,822
Wakuu natafuta sana takwimu za vitongoji visivyo na umeme mtwara na Lindi. Nahitaji sana hizi taarifa kwa ajili ya matumizi fulani ya kitaaluma.

Nilikuwa nahitaji walau majina au source nayoweza kupata hizo data.

Asante.
 
1000005634.jpg
 
ngumu sana kupata kijiji hakina umeme kwenye Zama hizi za bwawa
 
Kineng'ene labda km umepita Sasa hvi Kiko Lindi km unaelekea kikomolela ila kwa kusini ni ngumu maana karibu kote kuna umeme vijijini
 
Back
Top Bottom