Naomba mwenyeji wa Sumbawanga mwaminifu mwelewa

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Naomba mwenyeji wa Sumbawanga, mwelewa na mwaminifu anayejua na awe
Mzaliwa wa huko .

Pili hata kama so mzaliwa awe tu mwelewa na sehemu za hukoo
 
Mimi ni mwenyeji ila sipo huko kwa sasa...ila naweza saidia vile nitaweza...nimeku-dm imekataa.
 
Naomba mwenyeji wa Sumbawanga, mwelewa na mwaminifu anayejua na awe
Mzaliwa wa huko .

Pili hata kama so mzaliwa awe tu mwelewa na sehemu za hukoo
..."mwaminifu anayejua"..

Mkuu, hapo umemaanisha ANAYEJUA nini? Anayejua Sumbawanga na viunga vyake au anayejua nini? Hebu kuwa specific atleast for once.. [emoji1]
 
Back
Top Bottom