Tarehe 6 nitakuwa dsm kwa delar nahitaji matatu Kuna kijimpunga, kimeshaingia Cha fidia nimelipwa napenda sana hizi chuma namahaba nazo mwanzo nilifikilia How nikaonywa nikaambiwa hazitanifaa nashukuru mkuuNi imara, fuel consumption nzuri Yana nguvu na uwezo wa kuhimili Barabara zote spea zinapatikana Tabata na maduka makubwa ya Trucks Spare.
Dealer wake pia anauza spare na kufanya Service/Ushauri anaitwa Mobikey wapo Tabata Matumbi unaweza ukaenda kiofisi kuwatembelea.
Hizo kama Zina engine ya D20 au D26 ni injini imara sana
Pia kama ni za kwenye mradi nitakupa Namba ya jamaa yangu ni fundi wa hizo Man Diesel yupo kwenye workshop za mradi zaidi ya miaka 2.Tarehe 6 nitakuwa dsm kwa delar nahitaji matatu Kuna kijimpunga, kimeshaingia Cha fidia nimelipwa napenda sana hizi chuma namahaba nazo mwanzo nilifikilia How nikaonywa nikaambiwa hazitanifaa nashukuru mkuu
Mi nafikiria zaidi TGX mbili ziwe na Engine ya D20 na moja iwe na engine D26 Ambayo inatoa 440 HP then nataka ni compare katika project ipi ni the best then nitaongeza mbili Tena baada ya six month but na prefar ziwe manualUngeweka na detail ni model ipi TGS au TGX Horse Power zake na mwaka wadau wengine wangesaidia kukupa maoni.
t blj atapita kuongezea nyama
Dah. Mungu amekujalia sana Mkuu,yaani unanunua malori yote hayo kirahisi rahisi tu kama vitumbua?Hongera snaMi nafikiria zaidi TGX mbili ziwe na Engine ya D20 na moja iwe na engine D26 Ambayo inatoa 440 HP then nataka ni compare katika project ipi ni the best then nitaongeza mbili Tena baada ya six month but na prefar ziwe manual
Nope ushauri Wako ww unataka ninunue vipi , mi nishakuwa na experience sana nilishawahi kujilipua na matrektaya berlaus na project ikaenda sawa sasa kwa malory ya man pia nataka kujilipua..pasipo uthubutu hauna mafanikioDah. Mungu amekujalia sana Mkuu,yaani unanunua malori yote hayo kirahisi rahisi tu kama vitumbua?Hongera sna
Hii D20 ni 10L na D26 ni 12L (displacement).. ikiwa zitafanya kazi sawa automatically D26 will be the best kwa sababu haitakuwa stressed as the smaller one!!Mi nafikiria zaidi TGX mbili ziwe na Engine ya D20 na moja iwe na engine D26 Ambayo inatoa 440 HP then nataka ni compare katika project ipi ni the best then nitaongeza mbili Tena baada ya six month but na prefar ziwe manual
Asante kumbe kama ni hivyo nichague mbili D26 na moja iwe D20 nataka zikatwe bodi ziundwe mabus ambayo yatakuwa na root ya TARIME TO DODOMAHii D20 ni 10L na D26 ni 12L (displacement).. ikiwa zitafanya kazi sawa automatically D26 will be the best kwa sababu haitakuwa stressed as the smaller one!!
Mkuu mimi nilijua unazipeleka kwenye construction ndiyo maana nikapendekeza hiyo D26!Asante kumbe kama ni hivyo nichague mbili D26 na moja iwe D20 nataka zikatwe bodi ziundwe mabus ambayo yatakuwa na root ya TARIME TO DODOMA
sent from HUAWEI
Kama unataka uzifanye Basi utamtumia Body Builder yupi. Ungewacheki Malva au LHSH Kenya wametengeneza basi nyingi zilizowekwa injini ya Man Diesel Mfano wa hizo ni Classic Coach Zile za Dar-Lubumbashi.Asante kumbe kama ni hivyo nichague mbili D26 na moja iwe D20 nataka zikatwe bodi ziundwe mabus ambayo yatakuwa na root ya TARIME TO DODOMA
sent from HUAWEI
Body builder natumia campuni kutoka Kenya ,ndio watanifabyia from the scrutch mpk kumaliza kwa zote tatu na ninategemea zzikamilike kwa pamoja iili ziwe zinapishana ..,ni wazoefu sana hao jamaa kwa NairobiKama unataka uzifanye Basi utamtumia Body Builder yupi. Ungewacheki Malva au LHSH Kenya wametengeneza basi nyingi zilizowekwa injini ya Man Diesel Mfano wa hizo ni Classic Coach Zile za Dar-Lubumbashi.
Nilitaka niku-mention hapa kaka!Ni imara, fuel consumption nzuri Yana nguvu na uwezo wa kuhimili Barabara zote spea zinapatikana Tabata na maduka makubwa ya Trucks Spare.
Dealer wake pia anauza spare na kufanya Service/Ushauri anaitwa Mobikey wapo Tabata Matumbi unaweza ukaenda kiofisi kuwatembelea.
Hizo kama Zina engine ya D20 au D26 ni injini imara sana
Body nzuri ni za Master Fabrication Wana fanya maboresho Kulingana na muda.Body builder natumia campuni kutoka Kenya ,ndio watanifabyia from the scrutch mpk kumaliza kwa zote tatu na ninategemea zzikamilike kwa pamoja iili ziwe zinapishana ..,ni wazoefu sana hao jamaa kwa Nairobi
sent from HUAWEI
Mkuu unataka kusema hajapewa technical faults za hizo gari au kitu Gani.Nimepitia comments zote, sema nilicho kigundua hapa kuna wapigaji/walengeshaji na pia wapo wasio zijua chuma.
Kwaleo naomba niishie hapa maana tayari nishalewa pomba na hapa namalizia kete yangi ya mwisho huku nachanja miraa
Kwa kweli kwenye malori,mkuu mimi ni poor,poor,puaa,puwaaaaaaaaaaaaaaaaNope ushauri Wako ww unataka ninunue vipi , mi nishakuwa na experience sana nilishawahi kujilipua na matrektaya berlaus na project ikaenda sawa sasa kwa malory ya man pia nataka kujilipua..pasipo uthubutu hauna mafanikio