Naomba mwenyewe ufahamu kuhusu Malory aina ya Man

KANYEGELO

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,238
Reaction score
4,885
Wakuu habarini,

Naomba mwenyewe ufahamu kuhusu malory ya man na prefar kununua kwenye mnada matatu kwa ajili ya kazi flani falninza project ,mwenye ufahamu kuhusu Engine ,uimara wake na matumizi ya mafuta.

Natanguliza shukrani

Screenshot_20220321-134422.jpg
 
Ni imara, fuel consumption nzuri Yana nguvu na uwezo wa kuhimili Barabara zote spea zinapatikana Tabata na maduka makubwa ya Trucks Spare.

Dealer wake pia anauza spare na kufanya Service/Ushauri anaitwa Mobikey wapo Tabata Matumbi unaweza ukaenda kiofisi kuwatembelea.

Hizo kama Zina engine ya D20 au D26 ni injini imara sana
 
Tarehe 6 nitakuwa dsm kwa delar nahitaji matatu Kuna kijimpunga, kimeshaingia Cha fidia nimelipwa napenda sana hizi chuma namahaba nazo mwanzo nilifikilia How nikaonywa nikaambiwa hazitanifaa nashukuru mkuu
 
Pia kama ni za kwenye mradi nitakupa Namba ya jamaa yangu ni fundi wa hizo Man Diesel yupo kwenye workshop za mradi zaidi ya miaka 2.
 
Ungeweka na detail ni model ipi TGS au TGX Horse Power zake na mwaka wadau wengine wangesaidia kukupa maoni.

t blj atapita kuongezea nyama
Mi nafikiria zaidi TGX mbili ziwe na Engine ya D20 na moja iwe na engine D26 Ambayo inatoa 440 HP then nataka ni compare katika project ipi ni the best then nitaongeza mbili Tena baada ya six month but na prefar ziwe manual
 
Kama zilikuwa kwenye mradi wa SGR na muonekano huo usiache kikubwa ukazifanyie marekebisho kidogo DQ sio ya zamani sana na kwa tipa kazi zake jinsi zilivyo na huo muonekano sio mbaya sana, hapo ingekuwa Howo nisingekushauri nami uzichukue.
 
Mi nafikiria zaidi TGX mbili ziwe na Engine ya D20 na moja iwe na engine D26 Ambayo inatoa 440 HP then nataka ni compare katika project ipi ni the best then nitaongeza mbili Tena baada ya six month but na prefar ziwe manual
Dah. Mungu amekujalia sana Mkuu,yaani unanunua malori yote hayo kirahisi rahisi tu kama vitumbua?Hongera sna
 
Nope ushauri Wako ww unataka ninunue vipi , mi nishakuwa na experience sana nilishawahi kujilipua na matrektaya berlaus na project ikaenda sawa sasa kwa malory ya man pia nataka kujilipua..pasipo uthubutu hauna mafanikio
 
Mi nafikiria zaidi TGX mbili ziwe na Engine ya D20 na moja iwe na engine D26 Ambayo inatoa 440 HP then nataka ni compare katika project ipi ni the best then nitaongeza mbili Tena baada ya six month but na prefar ziwe manual
Hii D20 ni 10L na D26 ni 12L (displacement).. ikiwa zitafanya kazi sawa automatically D26 will be the best kwa sababu haitakuwa stressed as the smaller one!!
 
Asante kumbe kama ni hivyo nichague mbili D26 na moja iwe D20 nataka zikatwe bodi ziundwe mabus ambayo yatakuwa na root ya TARIME TO DODOMA

sent from HUAWEI
 
Mkuu mimi nilijua unazipeleka kwenye construction ndiyo maana nikapendekeza hiyo D26!

Bus ni light duty so hiyo D20 itafanya vizuri kwenye diesel kuliko D26 ambayo ni kubwa zaidi. Kumbuka bus muda mwingi inaendeshwa kwenye rev za juu kuliko lori, so hiyo D26 itakuvuruga tu kwenye diesel..

Modification ya truck kuwa bus ni too technical!
Huyu mwamba t blj ni msaada mkubwa when it comes to technical issues
 
Asante kumbe kama ni hivyo nichague mbili D26 na moja iwe D20 nataka zikatwe bodi ziundwe mabus ambayo yatakuwa na root ya TARIME TO DODOMA

sent from HUAWEI
Kama unataka uzifanye Basi utamtumia Body Builder yupi. Ungewacheki Malva au LHSH Kenya wametengeneza basi nyingi zilizowekwa injini ya Man Diesel Mfano wa hizo ni Classic Coach Zile za Dar-Lubumbashi.
 
Body builder natumia campuni kutoka Kenya ,ndio watanifabyia from the scrutch mpk kumaliza kwa zote tatu na ninategemea zzikamilike kwa pamoja iili ziwe zinapishana ..,ni wazoefu sana hao jamaa kwa Nairobi

sent from HUAWEI
 
Ni imara, fuel consumption nzuri Yana nguvu na uwezo wa kuhimili Barabara zote spea zinapatikana Tabata na maduka makubwa ya Trucks Spare.

Dealer wake pia anauza spare na kufanya Service/Ushauri anaitwa Mobikey wapo Tabata Matumbi unaweza ukaenda kiofisi kuwatembelea.

Hizo kama Zina engine ya D20 au D26 ni injini imara sana
Nilitaka niku-mention hapa kaka!

Ahsante kwa kutoa elimu.
 
Nimepitia comments zote, sema nilicho kigundua hapa kuna wapigaji/walengeshaji na pia wapo wasio zijua chuma.
Kwaleo naomba niishie hapa maana tayari nishalewa pombe na hapa namalizia kete yangi ya mwisho huku nachanja miraa
 
Body builder natumia campuni kutoka Kenya ,ndio watanifabyia from the scrutch mpk kumaliza kwa zote tatu na ninategemea zzikamilike kwa pamoja iili ziwe zinapishana ..,ni wazoefu sana hao jamaa kwa Nairobi

sent from HUAWEI
Body nzuri ni za Master Fabrication Wana fanya maboresho Kulingana na muda.
 
Nimepitia comments zote, sema nilicho kigundua hapa kuna wapigaji/walengeshaji na pia wapo wasio zijua chuma.
Kwaleo naomba niishie hapa maana tayari nishalewa pomba na hapa namalizia kete yangi ya mwisho huku nachanja miraa
Mkuu unataka kusema hajapewa technical faults za hizo gari au kitu Gani.

Man Diesel Hizo TGX/TGS ni reliable trucks hilo halina mpinzani. Baadhi ya faults nazo sio Kwa gari zote watu wachache wanakutana Nazo ni Kwenye Man Automatic Transmission kujivua gear
 
Nope ushauri Wako ww unataka ninunue vipi , mi nishakuwa na experience sana nilishawahi kujilipua na matrektaya berlaus na project ikaenda sawa sasa kwa malory ya man pia nataka kujilipua..pasipo uthubutu hauna mafanikio
Kwa kweli kwenye malori,mkuu mimi ni poor,poor,puaa,puwaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom