Delly Mandah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 391
- 194
PointsMkuu nakushaur,...ingia darasan kwanza,.
Yaan google or youtube,uijuie dhahab ni nin etc.
Inapatkanaje,..hapa tz ni wap maeneo etc
Ufaham biashara ya dhahab inafanywaje then ukishakua na info nying then com back..uliza vtu vile ambavyo hukuvielewa huko ndipo utapata mwanga wa hii kitu kwa ujumla,
Ila ukisema tuu uulize hum hutapata mwafaka,..
Sent using Jamii Forums mobile app
mtaj ni zaid ya m10Mtaji kiasi gani makisio ili mtu aone jinsi ya kukuahauri
hahaha nashukur ndgNjoo hapa Bunju mkuu nikupe 10,000,000 iboost maana unaonekana una mtaji wa kuungaunga
Njoo pm nikupeleke chunya utafurahi mwenyewehabarin ndg zangun,,,ni mda mrefu sana,,nimetaman kufanya biashara ya dhahabu,,ila muda nilikuwa nakosa,,kutokana na majukumu,,,sasa nina muda wa kufanya hiyo biashara,,naomba kuelimishwa,,1.mzigo unapatikana wap?2.soko lake
likoje,,nawasilisha,, kwa Maon yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
asante,,,nataka kununua toka kwa wachimbaj wa dogowadogo,, na kwenda kuuza kwa soko la ndanMkuu Delly Mandah hongera kwa wazo la kuanzisha biashara ya dhahabu, lakini kabla ya kukushauri kwanza ungeweka wazi unataka kufanya aina gani ya biashara ya dhahabu. Unataka kuweka duka la sonara? unataka kwenda katika migodi kununua na kisha kuuza? unataka kuanzisha mgodi? weka wazi kwanza kisha watu watakuja kukushauri
ningejua soko lake,, wala nisingeleta humu jamvini,Mkuu una wazo la biashara bila kijua biashara yenyewe wala soko??
nashukur,, nazid kupata mwangaDhahabu inapatikana sehemu mbalimbali tz, inategemea ubora wake, Kuna geita, morogoro, chunya, iringa, dodoma, Mpanda, kahama, etc
Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa ushaur ndgMkuu nakushaur,...ingia darasan kwanza,.
Yaan google or youtube,uijuie dhahab ni nin etc.
Inapatkanaje,..hapa tz ni wap maeneo etc
Ufaham biashara ya dhahab inafanywaje then ukishakua na info nying then com back..uliza vtu vile ambavyo hukuvielewa huko ndipo utapata mwanga wa hii kitu kwa ujumla,
Ila ukisema tuu uulize hum hutapata mwafaka,..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lako ni hatari.Njoo hapa Bunju mkuu nikupe 10,000,000 iboost maana unaonekana una mtaji wa kuungaunga
hahaha haibiwi mtuMh Kuna kaharufu nasikia hapa kama ka mtu kuibiwa au kuiba.