Naomba mwongozo wa kufanya biashara ya dhahabu

Delly Mandah

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
391
Reaction score
194
habarin ndg zangun,,,ni mda mrefu sana,,nimetaman kufanya biashara ya dhahabu,,ila muda nilikuwa nakosa,,kutokana na majukumu,,,sasa nina muda wa kufanya hiyo biashara,,naomba kuelimishwa,,1.mzigo unapatikana wap?2.soko lake
likoje,,nawasilisha,, kwa Maon yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakushaur,...ingia darasan kwanza,.

Yaan google or youtube,uijuie dhahab ni nin etc.
Inapatkanaje,..hapa tz ni wap maeneo etc
Ufaham biashara ya dhahab inafanywaje then ukishakua na info nying then com back..uliza vtu vile ambavyo hukuvielewa huko ndipo utapata mwanga wa hii kitu kwa ujumla,

Ila ukisema tuu uulize hum hutapata mwafaka,..

Points

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Delly Mandah hongera kwa wazo la kuanzisha biashara ya dhahabu, lakini kabla ya kukushauri kwanza ungeweka wazi unataka kufanya aina gani ya biashara ya dhahabu. Unataka kuweka duka la sonara? unataka kwenda katika migodi kununua na kisha kuuza? unataka kuanzisha mgodi? weka wazi kwanza kisha watu watakuja kukushauri
 
Njoo pm nikupeleke chunya utafurahi mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Delly Mandah hongera kwa wazo la kuanzisha biashara ya dhahabu, lakini kabla ya kukushauri kwanza ungeweka wazi unataka kufanya aina gani ya biashara ya dhahabu. Unataka kuweka duka la sonara? unataka kwenda katika migodi kununua na kisha kuuza? unataka kuanzisha mgodi? weka wazi kwanza kisha watu watakuja kukushauri
asante,,,nataka kununua toka kwa wachimbaj wa dogowadogo,, na kwenda kuuza kwa soko la ndan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakushaur,...ingia darasan kwanza,.

Yaan google or youtube,uijuie dhahab ni nin etc.
Inapatkanaje,..hapa tz ni wap maeneo etc
Ufaham biashara ya dhahab inafanywaje then ukishakua na info nying then com back..uliza vtu vile ambavyo hukuvielewa huko ndipo utapata mwanga wa hii kitu kwa ujumla,

Ila ukisema tuu uulize hum hutapata mwafaka,..

Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa ushaur ndg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom