Naomba mwongozo wa kwenda kuhiji kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Kama ambavyo nilishajisemea kwamba, lazima kuna siku katika maisha yangu nitakwenda kuhiji kwenye Kaburi la Mwamba wa Afrika, JPM, sasa naomba utaratibu wa kwenda huko.
Nawasilisha.
 
Nenda chato, ukifika pale utapata utaratibu kutokea ofisi (nimeisahau) flani pale halmashauri
 
Nenda chato, ukifika pale utapata utaratibu kutokea ofisi (nimeisahau) flani pale halmashauri
Ahsante kwa Mwongozo. Nikifika Mwanza chato inapatikana Wilaya/ Halmashauri gani?
 
Kama ambavyo nilishajisemea kwamba, lazima kuna siku katika maisha yangu nitakwenda kuhiji kwenye Kaburi la Mwamba wa Afrika, JPM, sasa naomba utaratibu wa kwenda huko.
Nawasilisha.
Unahiji kwa imani gani? Kama si kwa imani yoyote, basi ondoa neno 'kuhiji
 
Naona neno hija linatumiwa vibaya! Kwanini usiseme "kutembelea"

HIJA ni ibada maalum kwenye miezi maalum mahali maalum!

Sio Kila mahali, au muda wote unaweza kuhiji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…