Naomba mwongozo wa kwenda kuhiji kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

Naomba mwongozo wa kwenda kuhiji kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

Ukifika mwanza stendi ya Nyegezi kuna magari ya kwenda Chato, ila magari mengi sana ya kwenda Chato utayapata kwenye stendi ya Nyamhongolo.
 
Kama ambavyo nilishajisemea kwamba, lazima kuna siku katika maisha yangu nitakwenda kuhiji kwenye Kaburi la Mwamba wa Afrika, JPM, sasa naomba utaratibu wa kwenda huko.
Nawasilisha.
Labda niruhusiwe na kunya kaburini ndiyo naweza kupoteza muda kuingia humo kaburini
 
Watu hasira Sana humu, legacy ya mwamba JPM imegoma kutoweka!
Subiri 2025 jina lake likavyoibuka tena!
 
Ni halali kiboko wa wachawi anavyotutukana watanzania🤣🙌
 
Kama ambavyo nilishajisemea kwamba, lazima kuna siku katika maisha yangu nitakwenda kuhiji kwenye Kaburi la Mwamba wa Afrika, JPM, sasa naomba utaratibu wa kwenda huko.
Nawasilisha.
Hii ni kwa ajili ya wananchi wote wazalendo. Povu rukhsa
 
Back
Top Bottom