Naomba neno moja tu la Kingereza ambalo halina tafsiri rasmi ya Kiswahili

Int
Interpret
 
ndio maana yake masta
" paulo kristian makonder ameingizwa kwenye orodha nyeusi na ubalozi qa marekani

Interpretation deals with the spoken word and is delivered immediately. It prioritizes understanding and communication over perfection. The biggest difference between interpretation and translation is each service's medium: interpreters translate spoken language orally, while translators translate the written word.

Asante kwa mchango wako. Mimi nazungumzia hasa "translation"ya haya maneno ambayo hayana tafsiri rasmi. Ila katika Kiswahili, bisafsi sijui neno ambalo ni sambamba na "blacklist."

Wengi tutajifunza. Tuendelee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…