James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Unazingua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazingua
Kweli banaAeronautical Engineer
DisguiseKwa muda mrefu sana nimekuwa napata wakati mgumu ninapoona baadhi ya maneno ya Kingereza haswa katika Technology au professional fulani kukosa tafsiri rasmi. Hapa neno "tafsiri" nina maana ya translation. Mfano maneno kama, excavator katika context ya machinery au equipment; hearse katika context ya vehicle; au digital katika context ya technology.
Kwa maneno yenye tafsiri rasmi, nimekuwa najiuliza zinapatikanaje na mchango wa jamii ni kiasi gani. Mfano mdogo tu, dunia ilipoanza kutumia email kama njia ya mawasiliano, ilinichukua muda mrefu kujua tafsiri yake ni barua pepe. Pia nafikiri tafsiri rasmi ya Artificial Intelligence au AI, ni "Akili Mnemba." Kwa mara nyingine tena swali langu ni je, hizo tafsiri rasmi zimepatikanaje? Wananchi walihusishwa kwa kiasi gani?
Mfano mwingine ambao umenipa maswali mengi hivi karibuni ni wakati nasikiliza taarifa ya Habari ya saa mbili usiku kutoka redio moja maarufu, (bila kuitaja jina) hapa nchini. Katika kuwasilisha Habari kuhusu taifa fulani kugomea mkutano wa UN kwasababu nchi hiyo imewekwa kwenye "Blacklist", mtangazaiji alisema, (sio nukuu ya moja kwa moja), "Nchi X ilitoka nje ya mkutano kwasababu imewekwa kwenye listi nyeusi." Baada ya kusikia hivyo nikajiuliza, Je katika muktadha huo, kusema "Listi nyeusi" ndio tafsiri rasmi ya "Blacklist?"
Baada ya kusikia hivyo, ikaamsha tena chachu yangu ya kujua tunapataje tafsiri rasmi ya maneno magumu ya Kingereza na, ni jinsi gani wananchi wanaweza kujumuika katika kutatua changamoto hiyo.
Baada ya kusema hayo machache, swali langu kwako ni, je, unafikiri lugha yetu ya Kiswahili ina changamoto hiyo? Au wewe binafsi umeshawahi kukumbana nayo katika masomo yako, au kazi zako za kila siku? Kama jibu ni ndiyo, naomba neno moja tu la Kingereza ambalo unafikiri halina tafsiri rasmi. Kwa kufurahisha mjadala huu, ukiweza, pendekeza tafsiri ambayo wewe unafikiri itafaa kwa neno ulilopendekeza.
Kwanini nimeleta ombi hili kwenu? Nia kubwa iliyonifanya nilete ombi hili kwenu ni kwasababu, kwanza binafsi nafikiri hii changamoto ipo. Pili, nafikiri ingekuwa vema kama wananchi nao wangejumuishwa katika utafutaji wa tafsiri rasmi ya menono magumu au mapya ya Kingereza. Tatu, kwa kushirikisha jamii, watajiona nao ni sehemu katika kukuza Kiswahili.
Kwa kumalizia, nimepata muarobaini wa changamoto hii. Muda si mrefu, nataka niweke platform ambayo itakuwa rafiki kwa jamii nzima. Itajumuisha jamii yote ndani na nje ya nchi kwa ujumla katika kukabiliana na changamoto hii. Itasaidia kufanya watu wafikiri na kupanua mawazo.
Ndani ya siku 7, nitawajulisha jina la platform.
Nashukuru sana. Karibuni sote tujiunge kukuza Kiswahili.
Kuna baadhi ya maneno ya kingereza huwezi huwezi tumia word to word translation maana linapoteza maanaKwa muda mrefu sana nimekuwa napata wakati mgumu ninapoona baadhi ya maneno ya Kingereza haswa katika Technology au professional fulani kukosa tafsiri rasmi. Hapa neno "tafsiri" nina maana ya translation. Mfano maneno kama, excavator katika context ya machinery au equipment; hearse katika context ya vehicle; au digital katika context ya technology.
Kwa maneno yenye tafsiri rasmi, nimekuwa najiuliza zinapatikanaje na mchango wa jamii ni kiasi gani. Mfano mdogo tu, dunia ilipoanza kutumia email kama njia ya mawasiliano, ilinichukua muda mrefu kujua tafsiri yake ni barua pepe. Pia nafikiri tafsiri rasmi ya Artificial Intelligence au AI, ni "Akili Mnemba." Kwa mara nyingine tena swali langu ni je, hizo tafsiri rasmi zimepatikanaje? Wananchi walihusishwa kwa kiasi gani?
Mfano mwingine ambao umenipa maswali mengi hivi karibuni ni wakati nasikiliza taarifa ya Habari ya saa mbili usiku kutoka redio moja maarufu, (bila kuitaja jina) hapa nchini. Katika kuwasilisha Habari kuhusu taifa fulani kugomea mkutano wa UN kwasababu nchi hiyo imewekwa kwenye "Blacklist", mtangazaiji alisema, (sio nukuu ya moja kwa moja), "Nchi X ilitoka nje ya mkutano kwasababu imewekwa kwenye listi nyeusi." Baada ya kusikia hivyo nikajiuliza, Je katika muktadha huo, kusema "Listi nyeusi" ndio tafsiri rasmi ya "Blacklist?"
Baada ya kusikia hivyo, ikaamsha tena chachu yangu ya kujua tunapataje tafsiri rasmi ya maneno magumu ya Kingereza na, ni jinsi gani wananchi wanaweza kujumuika katika kutatua changamoto hiyo.
Baada ya kusema hayo machache, swali langu kwako ni, je, unafikiri lugha yetu ya Kiswahili ina changamoto hiyo? Au wewe binafsi umeshawahi kukumbana nayo katika masomo yako, au kazi zako za kila siku? Kama jibu ni ndiyo, naomba neno moja tu la Kingereza ambalo unafikiri halina tafsiri rasmi. Kwa kufurahisha mjadala huu, ukiweza, pendekeza tafsiri ambayo wewe unafikiri itafaa kwa neno ulilopendekeza.
Kwanini nimeleta ombi hili kwenu? Nia kubwa iliyonifanya nilete ombi hili kwenu ni kwasababu, kwanza binafsi nafikiri hii changamoto ipo. Pili, nafikiri ingekuwa vema kama wananchi nao wangejumuishwa katika utafutaji wa tafsiri rasmi ya menono magumu au mapya ya Kingereza. Tatu, kwa kushirikisha jamii, watajiona nao ni sehemu katika kukuza Kiswahili.
Kwa kumalizia, nimepata muarobaini wa changamoto hii. Muda si mrefu, nataka niweke platform ambayo itakuwa rafiki kwa jamii nzima. Itajumuisha jamii yote ndani na nje ya nchi kwa ujumla katika kukabiliana na changamoto hii. Itasaidia kufanya watu wafikiri na kupanua mawazo.
Ndani ya siku 7, nitawajulisha jina la platform.
Nashukuru sana. Karibuni sote tujiunge kukuza Kiswahili.
Kwa muda mrefu sana nimekuwa napata wakati mgumu ninapoona baadhi ya maneno ya Kingereza haswa katika Technology au professional fulani kukosa tafsiri rasmi. Hapa neno "tafsiri" nina maana ya translation. Mfano maneno kama, excavator katika context ya machinery au equipment; hearse katika context ya vehicle; au digital katika context ya technology.
Kwa maneno yenye tafsiri rasmi, nimekuwa najiuliza zinapatikanaje na mchango wa jamii ni kiasi gani. Mfano mdogo tu, dunia ilipoanza kutumia email kama njia ya mawasiliano, ilinichukua muda mrefu kujua tafsiri yake ni barua pepe. Pia nafikiri tafsiri rasmi ya Artificial Intelligence au AI, ni "Akili Mnemba." Kwa mara nyingine tena swali langu ni je, hizo tafsiri rasmi zimepatikanaje? Wananchi walihusishwa kwa kiasi gani?
Mfano mwingine ambao umenipa maswali mengi hivi karibuni ni wakati nasikiliza taarifa ya Habari ya saa mbili usiku kutoka redio moja maarufu, (bila kuitaja jina) hapa nchini. Katika kuwasilisha Habari kuhusu taifa fulani kugomea mkutano wa UN kwasababu nchi hiyo imewekwa kwenye "Blacklist", mtangazaiji alisema, (sio nukuu ya moja kwa moja), "Nchi X ilitoka nje ya mkutano kwasababu imewekwa kwenye listi nyeusi." Baada ya kusikia hivyo nikajiuliza, Je katika muktadha huo, kusema "Listi nyeusi" ndio tafsiri rasmi ya "Blacklist?"
Baada ya kusikia hivyo, ikaamsha tena chachu yangu ya kujua tunapataje tafsiri rasmi ya maneno magumu ya Kingereza na, ni jinsi gani wananchi wanaweza kujumuika katika kutatua changamoto hiyo.
Baada ya kusema hayo machache, swali langu kwako ni, je, unafikiri lugha yetu ya Kiswahili ina changamoto hiyo? Au wewe binafsi umeshawahi kukumbana nayo katika masomo yako, au kazi zako za kila siku? Kama jibu ni ndiyo, naomba neno moja tu la Kingereza ambalo unafikiri halina tafsiri rasmi. Kwa kufurahisha mjadala huu, ukiweza, pendekeza tafsiri ambayo wewe unafikiri itafaa kwa neno ulilopendekeza.
Kwanini nimeleta ombi hili kwenu? Nia kubwa iliyonifanya nilete ombi hili kwenu ni kwasababu, kwanza binafsi nafikiri hii changamoto ipo. Pili, nafikiri ingekuwa vema kama wananchi nao wangejumuishwa katika utafutaji wa tafsiri rasmi ya menono magumu au mapya ya Kingereza. Tatu, kwa kushirikisha jamii, watajiona nao ni sehemu katika kukuza Kiswahili.
Kwa kumalizia, nimepata muarobaini wa changamoto hii. Muda si mrefu, nataka niweke platform ambayo itakuwa rafiki kwa jamii nzima. Itajumuisha jamii yote ndani na nje ya nchi kwa ujumla katika kukabiliana na changamoto hii. Itasaidia kufanya watu wafikiri na kupanua mawazo.
Ndani ya siku 7, nitawajulisha jina la platform.
Nashukuru sana. Karibuni sote tujiunge kukuza Kiswahili.
Ni lugha ipi isiyo ya kuunga unga?
Tunaikumbatia ili tubaki na ujinga mwingi vichwani mwetu. Ni silaha ya wanasiasa. Elimu nyingi iko kwa Kiingereza.