Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Naombeni msaada wa dawa ya kutoa kajiwe kwenye figo. Daktari alisema ni dogo sana litatoka lenyewe ila napata maumivu makali sana nimepata hii shida kutokana na zoezi la kupunguza uzito,
Nilikuwa navaa belt lenye chupi la kubana tumbo
so nilikuwa sikojoi kojoi wala kunywa maji mengi so nikapata shida hiyo kuna kajiwe kwenye figo. sifanyi tena mambo ya kupunguza uzito nimepata shida.
Nilikuwa navaa belt lenye chupi la kubana tumbo