Naomba niambiwe namna ya kutoa jiwe dogo kwenye figo

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Naombeni msaada wa dawa ya kutoa kajiwe kwenye figo. Daktari alisema ni dogo sana litatoka lenyewe ila napata maumivu makali sana nimepata hii shida kutokana na zoezi la kupunguza uzito,

Nilikuwa navaa belt lenye chupi la kubana tumbo
61jctR92lBL._UY500_.jpg
so nilikuwa sikojoi kojoi wala kunywa maji mengi so nikapata shida hiyo kuna kajiwe kwenye figo. sifanyi tena mambo ya kupunguza uzito nimepata shida.
 
naombeni msaada wa dawa ya kutoa kajiwe kwenye figo.daktari alisema ni dogo sana litatoka lenyewe ila Napata maumivu makali sana nimepata hii shida kutokana na zoezi la kupunguza uzito,nilikuwa navaa belt lenye chupi la kubana tumbo so nilikuwa sikojoi kojoi wala kunywa maji mengi so nikapata shida hyo kuna kajiwe kwenye figo .sifanyi tena mambo ya kupunguza uzito nimepata shida.
Dawa ninayo. Pole Sana
 
pole..dawa yake hilo ni maji tu.kunywa maji mengi sana kwa siku..asubuhi fanya water therapy..ukiamka kunywa maji ya uvuguvugu lita moja thn fanya mazoez kidogo.
mchana pia maji kila dakika.
litayeyuka lenyewe na kupotea sabb hilo jiwe ni la chumvi..
chumvi zilizpzidi na zisizohitajika mwilini hutolewa kwa njia ya mkojo na jasho..sasa
usipokunywa maji mengi zile chumvi zinakosa kimiminika cha kutosha kuzotoa nje ya mwili. ndo matokeo zinaganda na kugeuka vijiwe vidogovidogo..na ukichelewa yatakuwa mawe mengi makubwa.
 
naomba jamani .
Asubuhi saa kumi na moja kunywa maji lita moja na nusu, hakikisha unamaliza ndani ya dakika mbili au chini ya hapo, then mchana kunywa tena lita na nusu

Zoezi liwe endelevu, hutahangaika kupunguza uzito wala kuvaa sijui belt, kila kitu kitakuwa poa. Good luck
 
Huwa kuna technolojia ya kusaga mawe kwenye figo na ini, i thought watakuwa wajerumani, wanalisaga kwa computer sijui wanatumia miozi, uliza sijui km bongo ipo..! Pole sana rafiki. Ila endelea kukata hiyo weight kwa njia asilia km mazoezi na diet maji ni moja ya njia bora zaidi ya kupunguza uzito hasa maji moto/uvuguvugu. Hiyo weght inaweza kuwa na hatari mbaya zaidi hilo jiwe..!
 
shukrani kwa ushauri .nimeanza kunywa maji toka jana kweli nina nafuu sana.tatizo mi mvivu kwenda chooni kukojoa kila mara sitaki kuharibu papuchi yangu
95% ya mkojo ni maji 5% ni waste products kama urea, potassium, sodium extra. Kama hunywi maji mengi waste products zinajikusanya kutengeneza kitu kama jiwe la chumvi. Linauma
linauma sana jamani khaa sio mchezo
Asubuhi saa kumi na moja kunywa maji lita moja na nusu, hakikisha unamaliza ndani ya dakika mbili au chini ya hapo, then mchana kunywa tena lita na nusu

Zoezi liwe endelevu, hutahangaika kupunguza uzito wala kuvaa sijui belt, kila kitu kitakuwa poa. Good luck
asante sana
 
Huwa kuna technolojia ya kusaga mawe kwenye figo na ini, i thought watakuwa wajerumani, wanalisaga kwa computer sijui wanatumia miozi, uliza sijui km bongo ipo..! Pole sana rafiki. Ila endelea kukata hiyo weight kwa njia asilia km mazoezi na diet maji ni moja ya njia bora zaidi ya kupunguza uzito hasa maji moto/uvuguvugu. Hiyo weght inaweza kuwa na hatari mbaya zaidi hilo jiwe..!
asante kwa ushauri wako ila mimi sio rafiki yako bna aaah
 
pole..dawa yake hilo ni maji tu.kunywa maji mengi sana kwa siku..asubuhi fanya water therapy..ukiamka kunywa maji ya uvuguvugu lita moja thn fanya mazoez kidogo.
mchana pia maji kila dakika.
litayeyuka lenyewe na kupotea sabb hilo jiwe ni la chumvi..
chumvi zilizpzidi na zisizohitajika mwilini hutolewa kwa njia ya mkojo na jasho..sasa
usipokunywa maji mengi zile chumvi zinakosa kimiminika cha kutosha kuzotoa nje ya mwili. ndo matokeo zinaganda na kugeuka vijiwe vidogovidogo..na ukichelewa yatakuwa mawe mengi makubwa.
95% ya mkojo ni maji 5% ni waste products kama urea, potassium, sodium extra. Kama hunywi maji mengi waste products zinajikusanya kutengeneza kitu kama jiwe la chumvi. Linauma
ni kweli beer au pombe kali zinasaidia kulitoa haraka?
 
Back
Top Bottom