Naomba niambiwe namna ya kutoa jiwe dogo kwenye figo

hilo la kubinua makalio nimeah liona wifi angu analivaa lina ikanda minene inapiota chini ya kalio nilichoka !
mayb sijajua km linabinua ! langu lipo km chupi lakini imefika had tumbon
basi lako tofauti .linakuwa kama chupi ila nyuma hakuna kitu ni kamba tu zinapita chini ya kalio.haifuniki kalio
 
Pole rafiki yangu! huwa nasikia wanasema dawa yake ni kunywa maji mengi, na kula matango mengi bila kumenya maganda yake!
Watu8 msaada please
 
hilo la kubinua makalio nimeah liona wifi angu analivaa lina ikanda minene inapiota chini ya kalio nilichoka !
mayb sijajua km linabinua ! langu lipo km chupi lakini imefika had tumbon
61jctR92lBL._UY500_.jpg
 
yapo ni shiida mjini hapa

ht wifi linambinuaaa! anakuwa na shape ghafla na ujue ana damu ya uhindi bas ni zaid ya flat huwa namuuliza ukiwa na men wako room inakuwaj akasema huwa anavaa kwa kujificha hajui kitu!teh wanwake raha sana jamn
 
hili kazi yake ukivaa sana linaongeza chura kabisa ,pia linamshape chura vizuri .mimi sipo flati so huwa linamuweka chura mkao flani amaizing sio la kudanganyia watu bna
 
yeah kuna kalio zingine zimeshuka chini km kitunguu hv !hope inanyanyua !nadhan kwa gaun mbano inafaa ! salute mamy
 
yaani unakuwa nalo tu la mishemishe ! linakufanya uwe vizuri balaa

hahha subiri povu kutoka upande wa 2 ! ukijibana kwenye dress hv kali red dadeeekkkkkkkk!sema hofu yangu tako lisirud sana nyuma jaman
 
Back
Top Bottom