Naomba niambiwe namna ya kutoa jiwe dogo kwenye figo

Naomba niambiwe namna ya kutoa jiwe dogo kwenye figo

unataka unifanyie majaribio mkuu? tafuta sungura

haahahhha hv miss hujawah vuta bangi shule wewe !maana nimepaliwa jaman juice hapa khaa !sio kwa jibu hili jaman !ahahahahahaha au ajaribishie kwa panya
 
ht wifi linambinuaaa! anakuwa na shape ghafla na ujue ana damu ya uhindi bas ni zaid ya flat huwa namuuliza ukiwa na men wako room inakuwaj akasema huwa anavaa kwa kujificha hajui kitu!teh wanwake raha sana jamn
kuna vitu mwanamke hata kama wewe ni maskini hutakiwi kuvikosa duniani shosti.yaliyonitokea ni ajali tu wala siachi kuvaa
 
Kumbe kupenda kwangu maji kunaniepusha na mengi.
Pole san miss.
 
hahaha hv linabidua ? mie naona linanibana sana jaman ! nilikua navaa chup na lenyew tena bas nakuwa mnene makalion nikaliweka hukoo ! toka jtt nimeanza diet nimekata starch kwa 100% jana na leo nimeshindwa mie ! nimefakamia mafirigis na ugali hapa akuu !wafanye tu diet watu ! sifanyi tena diet mie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naombeni msaada wa dawa ya kutoa kajiwe kwenye figo. Daktari alisema ni dogo sana litatoka lenyewe ila napata maumivu makali sana nimepata hii shida kutokana na zoezi la kupunguza uzito,

Nilikuwa navaa belt lenye chupi la kubana tumbo
61jctR92lBL._UY500_.jpg
so nilikuwa sikojoi kojoi wala kunywa maji mengi so nikapata shida hiyo kuna kajiwe kwenye figo. sifanyi tena mambo ya kupunguza uzito nimepata shida.

Muhimbili Hospital huwa wanafanya operation na kutoa hivyo vijiwe. Kuna dada alifanyiwa mwaka jana hapo Muhimbili, operation ilikuwa ya masaa kama 3 au 4. Wanatoboa tumbo kidogo halafu kuna mirija wanaipitisha inaenda hadi kwenye in na vijiwe vinavutwa vinatoka. Huyo dada alikuwa anapata maumivu kama yako, sasa kapona kabisa na anaendelea na shughuli zake. Hivyo vijiwe anavyo kavitunza kama kumbukumbu!!!
 
asante
dokta aliniambia sio kubwa mkuu ninywe tu maji mengi.naogopa sana kupasuliwa
 
Back
Top Bottom