Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #41
basi lako tofauti .linakuwa kama chupi ila nyuma hakuna kitu ni kamba tu zinapita chini ya kalio.haifuniki kaliohilo la kubinua makalio nimeah liona wifi angu analivaa lina ikanda minene inapiota chini ya kalio nilichoka !
mayb sijajua km linabinua ! langu lipo km chupi lakini imefika had tumbon