Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
asante sanamh pole sana miss ndo maana nilikuwasikuoni kwenye jukwaa.
Dawa ninayo. Pole Sananaombeni msaada wa dawa ya kutoa kajiwe kwenye figo.daktari alisema ni dogo sana litatoka lenyewe ila Napata maumivu makali sana nimepata hii shida kutokana na zoezi la kupunguza uzito,nilikuwa navaa belt lenye chupi la kubana tumbo so nilikuwa sikojoi kojoi wala kunywa maji mengi so nikapata shida hyo kuna kajiwe kwenye figo .sifanyi tena mambo ya kupunguza uzito nimepata shida.
naomba jamani .Dawa ninayo
asante sana.Pole sana mdada
kwa sasa nakunywa maji maumivu yameisha kidogo ila nataka yaishe kabisa haraka.belt limeniponza jamaniNi kunywa maji tu Miss litayeyuka taratibu. Inaelekea hunywi maji mengi
Asubuhi saa kumi na moja kunywa maji lita moja na nusu, hakikisha unamaliza ndani ya dakika mbili au chini ya hapo, then mchana kunywa tena lita na nusunaomba jamani .
95% ya mkojo ni maji 5% ni waste products kama urea, potassium, sodium extra. Kama hunywi maji mengi waste products zinajikusanya kutengeneza kitu kama jiwe la chumvi. Linaumakwa sasa nakunywa maji maumivu yameisha kidogo ila nataka yaishe kabisa haraka.belt limeniponza jamani
Huwa kuna technolojia ya kusaga mawe kwenye figo na ini, i thought watakuwa wajerumani, wanalisaga kwa computer sijui wanatumia miozi, uliza sijui km bongo ipo..! Pole sana rafiki. Ila endelea kukata hiyo weight kwa njia asilia km mazoezi na diet maji ni moja ya njia bora zaidi ya kupunguza uzito hasa maji moto/uvuguvugu. Hiyo weght inaweza kuwa na hatari mbaya zaidi hilo jiwe..!naombeni msaada wa dawa ya kutoa kajiwe kwenye figo.daktari alisema ni dogo sana litatoka lenyewe ila Napata maumivu makali sana nimepata hii shida kutokana na zoezi la kupunguza uzito,nilikuwa navaa belt lenye chupi la kubana tumbo so nilikuwa sikojoi kojoi wala kunywa maji mengi so nikapata shida hyo kuna kajiwe kwenye figo .sifanyi tena mambo ya kupunguza uzito nimepata shida.
shukrani kwa ushauri .nimeanza kunywa maji toka jana kweli nina nafuu sana.tatizo mi mvivu kwenda chooni kukojoa kila mara sitaki kuharibu papuchi yangupole..dawa yake hilo ni maji tu.kunywa maji mengi sana kwa siku..asubuhi fanya water therapy..ukiamka kunywa maji ya uvuguvugu lita moja thn fanya mazoez kidogo.
mchana pia maji kila dakika.
litayeyuka lenyewe na kupotea sabb hilo jiwe ni la chumvi..
chumvi zilizpzidi na zisizohitajika mwilini hutolewa kwa njia ya mkojo na jasho..sasa
usipokunywa maji mengi zile chumvi zinakosa kimiminika cha kutosha kuzotoa nje ya mwili. ndo matokeo zinaganda na kugeuka vijiwe vidogovidogo..na ukichelewa yatakuwa mawe mengi makubwa.
linauma sana jamani khaa sio mchezo95% ya mkojo ni maji 5% ni waste products kama urea, potassium, sodium extra. Kama hunywi maji mengi waste products zinajikusanya kutengeneza kitu kama jiwe la chumvi. Linauma
asante sanaAsubuhi saa kumi na moja kunywa maji lita moja na nusu, hakikisha unamaliza ndani ya dakika mbili au chini ya hapo, then mchana kunywa tena lita na nusu
Zoezi liwe endelevu, hutahangaika kupunguza uzito wala kuvaa sijui belt, kila kitu kitakuwa poa. Good luck
asante kwa ushauri wako ila mimi sio rafiki yako bna aaahHuwa kuna technolojia ya kusaga mawe kwenye figo na ini, i thought watakuwa wajerumani, wanalisaga kwa computer sijui wanatumia miozi, uliza sijui km bongo ipo..! Pole sana rafiki. Ila endelea kukata hiyo weight kwa njia asilia km mazoezi na diet maji ni moja ya njia bora zaidi ya kupunguza uzito hasa maji moto/uvuguvugu. Hiyo weght inaweza kuwa na hatari mbaya zaidi hilo jiwe..!
pole..dawa yake hilo ni maji tu.kunywa maji mengi sana kwa siku..asubuhi fanya water therapy..ukiamka kunywa maji ya uvuguvugu lita moja thn fanya mazoez kidogo.
mchana pia maji kila dakika.
litayeyuka lenyewe na kupotea sabb hilo jiwe ni la chumvi..
chumvi zilizpzidi na zisizohitajika mwilini hutolewa kwa njia ya mkojo na jasho..sasa
usipokunywa maji mengi zile chumvi zinakosa kimiminika cha kutosha kuzotoa nje ya mwili. ndo matokeo zinaganda na kugeuka vijiwe vidogovidogo..na ukichelewa yatakuwa mawe mengi makubwa.
ni kweli beer au pombe kali zinasaidia kulitoa haraka?95% ya mkojo ni maji 5% ni waste products kama urea, potassium, sodium extra. Kama hunywi maji mengi waste products zinajikusanya kutengeneza kitu kama jiwe la chumvi. Linauma
Kwangu u rafiki, kwako mimi ni adui..! Natambua hilo but I was viewing you from my site..¡!¡!¡!¡...!asante kwa ushauri wako ila mimi sio rafiki yako bna aaah
Siwezi kukushauri kilevi lakini beer inasaidia sana, akili mukichwa, kama ningekuwa wewe ningeanza glass ya maji ya uvuguvugu asubuhi na litre mbili kwa siku.ni kweli beer au pombe kali zinasaidia kulitoa haraka?
mi sijui ila nachojua wewe sio friend wanguKwangu u rafiki, kwako mimi ni adui..! Natambua hilo but I was viewing you from my site..¡!¡!¡!¡...!
nakunywa lita nne kwa siku toka jana maumivu yamepungua kidogo .pombe sijawai kunywa ila kama ni dawa nitakunywaSiwezi kukushauri kilevi lakini beer inasaidia sana, akili mukichwa, kama ningekuwa wewe ningeanza glass ya maji ya uvuguvugu asubuhi na litre mbili kwa siku.