Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Vitendo vyako vyema ndivyo vitakavyo kuingiza wewe peponi sio sala ya toba na haswa ukiwa mkristo usitegemee kama utaingia peponi kwa sala ya toba sio rahisi kabisa. Ukitaka kuingia peponi Kuwa Muislam na fanya vitendo vizuri utaingia peponi.Naomba nieleweshwe kabisa maana leo wakati nipo na washikaji tunapiga story nikaambiwa na hawa watu wakristo ya kwamba hata kama mtu amefanya mabaya sana kama vile amefanya mauaji kama yale ya akina ben saa nane,azory gwanda na akwalina au yale mauaji ya zanzibar akiombewa kwa sala ya toba eti haendi motoni eti kisa ameaaidiwa sala ya toba nikashituka how and why?
Naomba mnieleweshe wakuu how and why?!!!!!!!!!!!!! Naombeni majibu
Kufanya matendo mazuri ili tu kuokoka ni sawa na kujiokoa mwenyewe.Vitendo vyako vyema ndivyo vitakavyo kuingiza wewe peponi sio sala ya toba na haswa ukiwa mkristo usitegemee kama utaingia peponi kwa sala ya toba sio rahisi kabisa. Ukitaka kuingia peponi Kuwa Muislam na fanya vitendo vizuri utaingia peponi.
Kinachompeleka mtu mbinguni ni utakatifu, kwa mtu mwenye dhambi kinachomwokoa akiwa hapa duniani ni toba ya kweli bila kujali ametubu wakati gani. Hawezi mtu kujitengenezea utakatifu hata kama ni mtenda mema sana, matendo mema yanakuja kama matokeo ya toba ya kweli ambayo ni kumwamini Yesu na kuamua kuokoka.Naomba nieleweshwe kabisa maana leo wakati nipo na washikaji tunapiga story nikaambiwa na hawa watu wakristo ya kwamba hata kama mtu amefanya mabaya sana kama vile amefanya mauaji kama yale ya akina ben saa nane,azory gwanda na akwalina au yale mauaji ya zanzibar akiombewa kwa sala ya toba eti haendi motoni eti kisa ameaaidiwa sala ya toba nikashituka how and why?
Naomba mnieleweshe wakuu how and why?!!!!!!!!!!!!! Naombeni majibu
TUMIA AKILI DAUDI NA MUSA WALIUA SANA WALA AWAKUOMBA TOBA. KUUA SIYO DHAMBI BALI DHAMBI NI KUUA DAMU ISIYO NA HATIA .Naomba nieleweshwe kabisa maana leo wakati nipo na washikaji tunapiga story nikaambiwa na hawa watu wakristo ya kwamba hata kama mtu amefanya mabaya sana kama vile amefanya mauaji kama yale ya akina ben saa nane,azory gwanda na akwalina au yale mauaji ya zanzibar akiombewa kwa sala ya toba eti haendi motoni eti kisa ameaaidiwa sala ya toba nikashituka how and why?
Naomba mnieleweshe wakuu how and why?!!!!!!!!!!!!! Naombeni majibu
Sala ya Toba haito kusaidai kitu Vitendo vyako vyema ulivyokuw aupo hai ndivyo vitakavyoweza kukuingiza peponi.Sio eti uwe mzinifu,muuwaji, ,mbadhirifu, jambazi, Mlevi mtu unaye dhulumu haki za watu na mchawi eti ukifa uombee na mchungaji au Baba Askofu sala ya toba Mungu akuingize peponi usio rahisi kabisa umemfanya huyo Mungu mjomba wako nini? Akuingize katika pepo yake kwa sala ya Toba ya kuombea na Baba Askofu au Wachungaji? mMunaongopewa sana na Viongozi wenu Makanisani.Hebu wajaribuni kuwauliza mswali na wakupeni uhakika sio kuwaongopea waumini eti ukiombewa Sala ya toba utaingia peponi sio rahisi kabisa.Kufanya matendo mazuri ili tu kuokoka ni sawa na kujiokoa mwenyewe.
Mwanadamu hawezi kujiokoa mwenyewe.
Unadai kwamba matendo mema ndiyo yatamwingiza mtu peponi na wala si sala ya toba.
Kumbe sala ya toba si hidaya njema?
Tuna safari ndefu sana kama taifa la kiroho.
Yesu Kristu alishalipa Dhambi zote kwa Wanadamu wote mpaka yule wa mwisho kuzaliwa katika Dunia hii! Kabla ya Siku ya Mwisho .Siku ile atakayerudi Simba wa Yuda kutoa hukumu ya haki.... Siku ambayo ( Dan 12:2-3 Tena, wengi wa hao walalao katika mavumbi ya nchi wataamka, wengine wapate uzima wa milele, wengine aibu na kudharauliwa milele. Na walio na hekima watang’aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao we | Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV) | Pakua Programu ya Biblia Sasa) Ajalishi Umetubu na kumwamini Muda gani.... Ata kama una dhambi kama Adolf Hitler mlango wa Mungu upo wazi Bado Karibu Mbinguni .https://www.bible.com/sw/bible/164/ISA.1.18.SUV:Naomba nieleweshwe kabisa maana leo wakati nipo na washikaji tunapiga story nikaambiwa na hawa watu wakristo ya kwamba hata kama mtu amefanya mabaya sana kama vile amefanya mauaji kama yale ya akina ben saa nane,azory gwanda na akwalina au yale mauaji ya zanzibar akiombewa kwa sala ya toba eti haendi motoni eti kisa ameaaidiwa sala ya toba nikashituka how and why?
Naomba mnieleweshe wakuu how and why?!!!!!!!!!!!!! Naombeni majibu
Mungu aliona Dhambi zote zitakazofanywa na Binadamu wote aliowaumba Duniani! Damu ya Yesu imefuta Dhambi zote kwa atakaeamini na kutubu Dhambi zake , ajalishi ni muda gani!! Sali kabla ujaswaliwaSala ya Toba haito kusaidai kitu Vitendo vyako vyema ulivyokuw aupo hai ndivyo vitakavyoweza kukuingiza peponi.Sio eti uwe mzinifu,muuwaji, ,mbadhirifu, jambazi, Mlevi mtu unaye dhulumu haki za watu na mchawi eti ukifa uombee na mchungaji au Baba Askofu sala ya toba Mungu akuingize peponi usio rahisi kabisa umemfanya huyo Mungu mjomba wako nini? Akuingize katika pepo yake kwa sala ya Toba ya kuombea na Baba Askofu au Wachungaji? mMunaongopewa sana na Viongozi wenu Makanisani.Hebu wajaribuni kuwauliza mswali na wakupeni uhakika sio kuwaongopea waumini eti ukiombewa Sala ya toba utaingia peponi sio rahisi kabisa.
Eti ukitaka kuingia peponi uwe muislam..!! Hii ni maajabu..!!Vitendo vyako vyema ndivyo vitakavyo kuingiza wewe peponi sio sala ya toba na haswa ukiwa mkristo usitegemee kama utaingia peponi kwa sala ya toba sio rahisi kabisa. Ukitaka kuingia peponi Kuwa Muislam na fanya vitendo vizuri utaingia peponi.
NAKAZIA HAPA..Vitendo vyako vyema ndivyo vitakavyo kuingiza wewe peponi sio sala ya toba na haswa ukiwa mkristo usitegemee kama utaingia peponi kwa sala ya toba sio rahisi kabisa. Ukitaka kuingia peponi Kuwa Muislam na fanya vitendo vizuri utaingia peponi.
Mungu anajua mioyo yetu na anafahamu fikra zetu na mipango yetu kabla ya sisi kuiweka waziNaomba nieleweshwe kabisa maana leo wakati nipo na washikaji tunapiga story nikaambiwa na hawa watu wakristo ya kwamba hata kama mtu amefanya mabaya sana kama vile amefanya mauaji kama yale ya akina ben saa nane,azory gwanda na akwalina au yale mauaji ya zanzibar akiombewa kwa sala ya toba eti haendi motoni eti kisa ameaaidiwa sala ya toba nikashituka how and why?
Naomba mnieleweshe wakuu how and why?!!!!!!!!!!!!! Naombeni majibu