Naomba nifahamishwe nama ya kutumia Mti wa MVUNGE kwa maradhi udhaifu wa mwili

Naomba nifahamishwe nama ya kutumia Mti wa MVUNGE kwa maradhi udhaifu wa mwili

Mr HQ

Member
Joined
Oct 26, 2020
Posts
81
Reaction score
51
Tuna mtoto wa mama mdogo Ana tatizo la mifupa yake na mwili wake upo dhaifu tumejaribu kuuliza tukaambiwa tujaribu kuuliza kuhusu mti mvunge ni tiba nzuri. jamani naomba kwa mwenye kujua jinsi ya kutumia mti huo na jinsi ya kuupata mti huo tunaomba msaada.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Tuna mtoto wa mama mdogo Ana tatizo la mifupa yake na mwili wake upo dhaifu tumejaribu kuuliza tukaambiwa tujaribu kuuliza kuhusu mti mvunge ni tiba nzuri. jamani naomba kwa mwenye kujua jinsi ya kutumia mti huo na jinsi ya kuupata mti huo tunaomba msaada.[emoji120][emoji120][emoji120]
Umepost uzi mda mbaya ....huu ungepost ile saa 18- 20hrs ungepata majibu fasta. Mda huu kaka yangu mshana yupo msataa ashapiga kaniki yake na mguuni Ana kwato za ng'ombe ....kaka usinune
 
Umepost uzi mda mbaya ....huu ungepost ile saa 18- 20hrs ungepata majibu fasta. Mda huu kaka yangu mshana yupo msataa ashapiga kaniki yake na mguuni Ana kwato za ng'ombe ....kaka usinune
[emoji851][emoji851][emoji851]nimerejea salama dada leo anga lilikuwa shwari kabisa
 
Tuna mtoto wa mama mdogo Ana tatizo la mifupa yake na mwili wake upo dhaifu tumejaribu kuuliza tukaambiwa tujaribu kuuliza kuhusu mti mvunge ni tiba nzuri. jamani naomba kwa mwenye kujua jinsi ya kutumia mti huo na jinsi ya kuupata mti huo tunaomba msaada.[emoji120][emoji120][emoji120]
Huu mti ni maarufu kwa kutibu mengine sijawahi kusikia kuhusu mifupa kwakweli.. Nijuavyo unatibu kuongeza maumbile ya kiume,kurefusha na kukuza makalio kwa akina mama.

Japo inatibu magonjwa mengine mengi kama bawasiri na vidonda vilivyoshindikana lakini umaarufu wake uko kwenye hayo mawili maumbile na makalio.. Labda kama ni ishu ya kibamia kwa mtoto unaweza kumfaa sana!

Screenshot_20210807-051949.jpg
 
Mshana Jr na MziziMkavu, viti vyenu vya enzi viko meza kuu, karibuni
Watu wengi wanaufahamu mti wa mvunge kama mti unaotumika katika tiba ya kurefusha na kunenepesha maumbile ya kiume pamoja na kuongeza ukubwa wa makalio kwa wanawake.

Hii ni kwa sababu, mti wa mvunge umekuwa ukitumika katika tiba ya kurefusha na kunenepesha maumbile ya kiume pamoja na kuongeza ukubwa wa makalio tangu enzi za mabibi na mababu.

Vile ile, mti wa mvunge tayari umethibitishwa kitaalamu kuwa na uwezo wa kitabibu katika kurefusha na kunenepesha maumbile ya kiume pamoja na kuongeza ukubwa wa makalio.

Hata hivyo, mbali na kuwa na uwezo wa kurefusha na kunenepesha maumbile ya kiume pamoja na kunenepesha makalio, mmea wa Mvunge unazo faida nyingine lukuki kwa afya ya mwanadamu.

1. Mti wa mvunge una uwezo wa kutibu majeraha ya vidonda
2. Mti wa mvunge hutibu vidonda visivyo pona โ€˜ Vidonda Ndugu โ€˜
3. Mti wa mvunge hutumika kutibu vidonda vya tumbo
4. Majani ya mti wa mvunge hutumika kutibu magonjwa mbalimbali ya zinaa kama vile kaswende na kisonono.
5. Unga wa tunda la mvunge hutumika katika tiba dhidi ya magonjwa mbalimbali ya ngozi.
6. Unga wa tunda la mvunge hutumika kutibu chunusi za usoni na mwilini
7. Mti wa mvunge hutumika katika kutibu bacteria na maambukizi ya bacteria
8. Mti wa mvunge hutumika kuongeza ukubwa wa matiti na kuyasimamisha
9. Mti wa mvunge unatumika kutibu ukurutu
10. Mti wa mvunge ni tiba nzuri sana dhidi ya majipu au upele wenye kutoa usaha.
11. Mti wa mvunge unatumika kutibu maumivu ya chini ya mgongo
12. Mti wa mvunge hutibu maradhi ya maumivu kwenye magoti
13. Mti wa mvunge ni tiba nzuri sana ya tatizo la baridi yabisi.
14. Mti wa mvunge unasaidia kutibu maumivu ya tumbo
15. Mti wa mvunge husaidia kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la maumivu ya kwenye meno.
16. Mti wa mvunge hutumika katika tiba dhidi ya Homa ya mapafu
17. Mti wa mvunge husaidia kutibu tatizo la kukosa choo
18. Mti wa mvunge husaidia kuupa mwili nguvu na joto
19. Mti wa Mvunge hutumika kutibu bawaziri
20. Mti wa Mvunge hutumika kuondosha minyoo wa tumboni
21. Mvunge unapochemshwa kitaalamu kwa pamoja na asali mbichi ya nyuki wadogo, husaidia sana kuondoa lehemu( Cholestrol ) isiyo hitajika mwilini.
22. Mti wa Mvunge husaidia kuongeza maziwa kwa mama anaye nyonyesha...!!
1.jpg
 
Kwamba hujakutana na ubaya wowote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie huko angani usiku kuoneni tu hivi na mawingu yake, unaweza kupigwa kombora mpaka ukajikuta geti kuu la kuzimu na aliyeko zamu ni baba lao mzee shetani mwenyewe.. Nakwambia ukifanikiwa kuchoropoka na uchawi unaacha [emoji23]
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Back
Top Bottom